Je, ni lazima tu kila Rais mpya akipatikana na Kuapishwa anaanza na Walinzi wake wapya na wa Rais aliyemtangulia wanaachwa?

Je, hili ni hitaji la Kiitifaki zaidi kutoka kwa Watu wa Usalama wa Taifa wa nchi husika au huwa ni Matakwa hasa tu ya Rais mpya anayeingia Ofisini?

Kwenye nchi zenye kuheshimu katiba na hivyo kuwa na taasisi makini; Kitengo cha usalama hutimiza wajibu wake kwa kufuata katiba na sio utashi wa nani ni kiongozi wa nchi!!

Kwenye SHITHOLE countries Usalama wa Taifa ni kitengo cha kumlinda kiongozi wa nchi na genge lake; hivyo hawaheshimu katiba bali kauli ya mtawala!!
 
Mi nitatimua walinzi wote, ntalindwa na Mungu tu.

YER. 17:5 SUV​

BWANA asema hivi, Amelaaniwa mtu yule amtegemeaye mwanadamu, Amfanyaye mwanadamu kuwa kinga yake Na moyoni mwake amemwacha BWANA.
SUV: Swahili Union Version
Bwana mwenyewe Anasema jilinde nikulinde. sasa wacha Mlango wazi nyumbani harafu useme bwana anakulinda kitakachokupata utakuja kutuletea ushuhuda baadae Kuna mwana jf ameanzisha thread nimeiona ameandika wale tuliowahi kuvamiwa na majambazi Tujuane hapa sasa nenda kaipitie ile thread Nadhani Utapata cha kujifunza Hizo imani Zenu zitawaponza
 
Nipe huo mstari, uko kitabu gani?
Anasema jilinde nikulinde

Daka na hii nyingine.

ZAB. 127:1-2 SUV​

BWANA asipoijenga nyumba Waijengao wafanya kazi bure. BWANA asipoulinda mji Yeye aulindaye akesha bure. Kazi yenu ni bure, mnaoamka mapema, Na kukawia kwenda kulala, Na kula chakula cha taabu; Yeye humpa mpenzi wake usingizi.
SUV: Swahili Union Version
 
Kwenye nchi zenye kuheshimu katiba na hivyo kuwa na taasisi makini; Kitengo cha usalama hutimiza wajibu wake kwa kufuata katiba na sio utashi wa nani ni kiongozi wa nchi!!

Kwenye SHITHOLE countries Usalama wa Taifa ni kitengo cha kumlinda kiongozi wa nchi na genge lake; hivyo hawaheshimu katiba bali kauli ya mtawala!!
Utawala wa sheria huwezi kuta wasiojulikana
 
Bwana mwenyewe Anasema jilinde nikulinde. sasa wacha Mlango wazi nyumbani harafu useme bwana anakulinda kitakachokupata utakuja kutuletea ushuhuda baadae Kuna mwana jf ameanzisha thread nimeiona ameandika wale tuliowahi kuvamiwa na majambazi Tujuane hapa sasa nenda kaipitie ile thread Nadhani Utapata cha kujifunza Hizo imani Zenu zitawaponza
Umeingia chaka.
 
Nipe huo mstari, uko kitabu gani?

Daka na hii nyingine.

ZAB. 127:1-2 SUV​

BWANA asipoijenga nyumba Waijengao wafanya kazi bure. BWANA asipoulinda mji Yeye aulindaye akesha bure. Kazi yenu ni bure, mnaoamka mapema, Na kukawia kwenda kulala, Na kula chakula cha taabu; Yeye humpa mpenzi wake usingizi.
SUV: Swahili Union Version
Safi sana

Hawanaga mstari nimisemo ya wadunia
"Jilinde nami nikulinde"

Bwana asipo ujenga mji .....utafanya kazi bure
 
Back
Top Bottom