MINOCYCLINE
JF-Expert Member
- Apr 2, 2015
- 8,011
- 16,748
Je, hili ni hitaji la Kiitifaki zaidi kutoka kwa Watu wa Usalama wa Taifa wa nchi husika au huwa ni Matakwa hasa tu ya Rais mpya anayeingia Ofisini?
Labda bodyguard na yule jamaa wa pembeniUnamaanisha Kitengo cha Ulinzi wa Rais au Walinzi wanaomzunguka Rais anapokuwa hadharani?
Je, hili ni hitaji la Kiitifaki zaidi kutoka kwa Watu wa Usalama wa Taifa wa nchi husika au huwa ni Matakwa hasa tu ya Rais mpya anayeingia Ofisini?
Ulivyoelewa Wewe tu.Unamaanisha Kitengo cha Ulinzi wa Rais au Walinzi wanaomzunguka Rais anapokuwa hadharani?
Ulivyoelewa Wewe tu.
Bwana mwenyewe Anasema jilinde nikulinde. sasa wacha Mlango wazi nyumbani harafu useme bwana anakulinda kitakachokupata utakuja kutuletea ushuhuda baadae Kuna mwana jf ameanzisha thread nimeiona ameandika wale tuliowahi kuvamiwa na majambazi Tujuane hapa sasa nenda kaipitie ile thread Nadhani Utapata cha kujifunza Hizo imani Zenu zitawaponzaMi nitatimua walinzi wote, ntalindwa na Mungu tu.
YER. 17:5 SUV
BWANA asema hivi, Amelaaniwa mtu yule amtegemeaye mwanadamu, Amfanyaye mwanadamu kuwa kinga yake Na moyoni mwake amemwacha BWANA.
SUV: Swahili Union Version
Nipe huo mstari, uko kitabu gani?Bwana mwenyewe Anasema jilinde nikulinde. sasa wacha Mlango wazi nyumbani harafu useme bwana anakulinda kitakachokupata utakuja kutuletea ushuhuda baadae Kuna mwana jf ameanzisha thread nimeiona ameandika wale tuliowahi kuvamiwa na majambazi Tujuane hapa sasa nenda kaipitie ile thread Nadhani Utapata cha kujifunza Hizo imani Zenu zitawaponza
Anasema jilinde nikulinde
Utawala wa sheria huwezi kuta wasiojulikanaKwenye nchi zenye kuheshimu katiba na hivyo kuwa na taasisi makini; Kitengo cha usalama hutimiza wajibu wake kwa kufuata katiba na sio utashi wa nani ni kiongozi wa nchi!!
Kwenye SHITHOLE countries Usalama wa Taifa ni kitengo cha kumlinda kiongozi wa nchi na genge lake; hivyo hawaheshimu katiba bali kauli ya mtawala!!
Utawala wa sheria huwezi kuta wasiojulikana
Umeingia chaka.Bwana mwenyewe Anasema jilinde nikulinde. sasa wacha Mlango wazi nyumbani harafu useme bwana anakulinda kitakachokupata utakuja kutuletea ushuhuda baadae Kuna mwana jf ameanzisha thread nimeiona ameandika wale tuliowahi kuvamiwa na majambazi Tujuane hapa sasa nenda kaipitie ile thread Nadhani Utapata cha kujifunza Hizo imani Zenu zitawaponza
Safi sanaNipe huo mstari, uko kitabu gani?
Daka na hii nyingine.
ZAB. 127:1-2 SUV
BWANA asipoijenga nyumba Waijengao wafanya kazi bure. BWANA asipoulinda mji Yeye aulindaye akesha bure. Kazi yenu ni bure, mnaoamka mapema, Na kukawia kwenda kulala, Na kula chakula cha taabu; Yeye humpa mpenzi wake usingizi.
SUV: Swahili Union Version
Yule jamaa Wa pembeni sielew kazi yake mda mwingne anavaa sare za ccmLabda bodyguard na yule jamaa wa pembeni