Nawasalimu wana jf, leo nimekuja na hii dhana ya Ushairi kwa mujibu wa
Sheikh Amri Abed Kaluta:
"shairi ni wimbo hivyo kama shairi haliimbiki shairi hilo halina maana"
Je, dhana hii bado ina nafasi katika uga wa sasa wa ushairi ambao umeendele sana?
Karibuni kwa michango.