Je, ni lazima msichana kutolewa mahari?

Je, ni lazima msichana kutolewa mahari?

Nimeona huu uzi nazidi kupatwa na hasira.

nimeambiwa mahari million 18, binti ni Mchaga graduate! eti kisa ni graduate ndo maana mahari ni pesa hiyo.
Kila nikikaa natamani hata kumpigia huyo mzee simu nimwambie atafute mtu mwingine amuozeshe binti yake kwa pesa hiyo.

nitakileta kisa changu hapa jukwaani.
 
When the deal is too good think twice. Usipotoa mahari utatombewa mwanamke hadi useme kuoa ni dhambi. Jitahidi utoe hata nusu ya mahari upate japo kaheshma kadogo. Le me put it clear here... Usipotoa mahari yeye ndo atakua spy kwako kutoka kwao. Kila utakacho kuwa unakifanya lazma kwao wajue na mwisho wa cku watakuchana live hadi ushangae kuwa ulioa mwanamke au cctv. Try your best. NIMECOMENT AT MY OWN RISK.
Yupo jamaa aligoma kutoa mahari akaenda na mke wajiunganisha mbali na familia YAANI ikitokea vikao vya familia yule jamaa haionekani zaidi ya MIAKA 20 hajawahi kanyaga ukweni KISA mahari MPAKA mzee WA MKE alipokufa eti akaenda MSIBANI akipata fedheha ilibidi atoe mahari ya juu na ng'ombe kadhaa kufuta aibu Sasa hivi HATA KWENYE vikao anaudhuria na anajiona bonge la MTU.
 
When the deal is too good think twice. Usipotoa mahari utatombewa mwanamke hadi useme kuoa ni dhambi. Jitahidi utoe hata nusu ya mahari upate japo kaheshma kadogo. Le me put it clear here... Usipotoa mahari yeye ndo atakua spy kwako kutoka kwao. Kila utakacho kuwa unakifanya lazma kwao wajue na mwisho wa cku watakuchana live hadi ushangae kuwa ulioa mwanamke au cctv. Try your best. NIMECOMENT AT MY OWN RISK.
Umeelezea kwa uchungu mno, pole sana kwa yaliyokusibu.
😟
 
Kwa nini ukatae ? Kuna namna unataka kumruhusu kijana maskini akumiliki🤔 uzuri moja wamasi wamenyooka kama sisi wachaga
Kama ningeweza rudiaha siku nyuma
Nisingedate au kuwaza mambo ya material katika date zangu coz ndo mambo ya kuwaza ndoa since first kiss...huenjoy chochote
Ningedate for love....

Mi sikupenda kwanza mambo ya mahari coz niliona namuumiza jamaa
 
Mambo ya mahari ni ujinga sana
Especially wazee wanaoiweka kama ndo pa kupatia mtaji
Imagne ndo mmekutana mnaanza maisha mkasema muoane(sababu wote mmeshakubaliana kuwa kifungoni)
Hamna nyumba hamna hata gari
Mnaenda kwa wazee... mahari milion tano au 10
Huu ni ujinga sana
 
Mnadiscuss mahari ipi tena wakuu? 👀

Kwani siku hizi si nasikia kwamba ukimkaribisha geto akilala mara moja tu, anaanza kuhamia mwenyewe taratibu taratibu.

siku nyingine kaja na nguo pair 1, kesho kaja na pair 2, hivyo hivyo mdogo mdogo mpaka utashangaa karibu vitu vyake vyote vipo kwako.
Na baada ya hapo kwako panakuwa kwenu (kwake na kwako pia).
 
Kuna wengi wanashindwa kuoa kwa sababu ya hii
Jambo la mahari limeingiliwa na taratibu zetu na tamaa za wazazi wa mwanamke, ila kwa utaratibu ule wa awali, ingekuwa rahisi sana.

Muolewaji ndio anapaswa ataje mahari, kama anakupenda kwa dhati na anajua uwezo wako hawezi kukutajia milioni 5, labda anakudanga.
 
Back
Top Bottom