Je, ni lazima kutembea na kadi ya gari?

Je, ni lazima kutembea na kadi ya gari?

bnf

JF-Expert Member
Joined
Oct 13, 2012
Posts
218
Reaction score
79
Leo nilikuwa mizunguko yangu ya town, nikasimanishwa na traffic..kaniuliza vitu vingi sana kuanzia lessen. Nilikuwa navyo, mwisho kauliza kadi ya gari ambayo sikuanayo ila mwisho aliomba sh. 5000/ ili aniachie, kupunguza usumbufu nilimpa. SASA NAOMBA ULIZA NI LAZIMA KUTEMBEA NA KADI YA GARI. NA NISIPOKUWA NAYO ADHABU YAKE NI IPI?
 
Hadi Leo haujajua kama kadi ya gari ndio gari Lenyewe? una muda gani unamiliki gari mkuu?
 
Vitu muhimu kutembea navyo kwenye gari cha kwanza kadi ya Gari. Kwani ni muhimu sana, nenda Tra kacertify copy ya kadi yako kwa uthibitisho wa umiliki
 
Hadi Leo haujajua kama kadi ya gari ndio gari Lenyewe? una muda gani unamiliki gari mkuu?

Na pia atueleze amejifunzia wapi kuendesha gari au ndiyo walewale wanaojifunza uchochoroni alafu wanaletewa license nyumbani
 
hovyo kabisa wewe kama huyui kaa kimya

Wewe mbulula kweli sasa kuna shida kwenye hiyo comment niliyotoa?au hujui alichouliza mtoa uzi kinafundishwa kwenye driving schools au na wewe uliletewa driving license na shemeji yako eeehn??
 
Wewe mbulula kweli sasa kuna shida kwenye hiyo comment niliyotoa?au hujui alichouliza mtoa uzi kinafundishwa kwenye driving schools au na wewe uliletewa driving license na shemeji yako eeehn??

inawezekana ameuliza ili wengine wapata elimu. Kama hujui pita kimya ujua wako peleka kwenu
 
inawezekana ameuliza ili wengine wapata elimu. Kama hujui pita kimya ujua wako peleka kwenu

Kaaa kimya ndorrrrrrrobo wewe na ndiyo maana nikasema huyo jamaa kama angekuwa amepitia driving school angeelewa na ili uweze kuendesha gari ni lazima ujifunze sehemu ambayo inayotambulika kisheria siyo unajifunzia uchochoroni hujui sheria na kanuni za kuendesha gari ,sasa kama na wewe ulijifunzia uchochoroni pole sana
 
sheria namba ngapi ya mwaka gani inayomlazimisha dereva kutembea na kadi ya gari tuanzie hapo kwanza. Kelele nyingi kumbe mfuko una buku tu
 
Sheria inalazimisha kutembea na kadi ya gari, ukiandikiwa notification isome, kuna kipengele hicho. Ingawa imepitwa na wakati sheria haiwi batili hadi itungwe sheria nyingine ya kuibatilisha.

Zamani hizo kulikuwa hakuna road license stickers kwa hiyo kadi ulikuwa lzm utembee mayo lkn sasa sticker za road license zina taarifa zote na ni hakikisho tosha. Lkn tatizo ni kuwa haijatungwa sheria mpya ya kuibatilisha ile ya zamani.

Vv
 
Tanzania driving nadhani ndo wanataka hicho kitu. Nchi zingins hakunA hicho wala huwezi ona traffik kasimama kukagua kadi, kwanza hakuna hata kadi coz wana database nzuri
 
sheria namba ngapi ya mwaka gani inayomlazimisha dereva kutembea na kadi ya gari tuanzie hapo kwanza. Kelele nyingi kumbe mfuko una buku tu

Sioni sababu ya kubishana na wewe under 18,baki na ujinga wako
 
Wala sio lazima,iache tu.

Wakikuuliza wape hela.
 
kwa hapa Tanzania ni lazima, unatakiwa uwe na copy of the original na hiyo copy lazima iwe certified kama true copy of the original na wakili,usipokuwa na hiyo utalipishwa fine isiyopungua Tzs 30,000/-...sasa why toa hiyo fine au 5000 kila ukikamatwa wkt unaweza lipa atlst 10/20 thou kwa wakili aicertify hiyo copy, tena kama unarafiki wakili atakufanyia favor na kucertify bure
 
Back
Top Bottom