kwa hapa Tanzania ni lazima, unatakiwa uwe na copy of the original na hiyo copy lazima iwe certified kama true copy of the original na wakili,usipokuwa na hiyo utalipishwa fine isiyopungua Tzs 30,000/-...sasa why toa hiyo fine au 5000 kila ukikamatwa wkt unaweza lipa atlst 10/20 thou kwa wakili aicertify hiyo copy, tena kama unarafiki wakili atakufanyia favor na kucertify bure
Siyo kwa wakili tu hata TRA au mahakamani.
kwa hapa Tanzania ni lazima, unatakiwa uwe na copy of the original na hiyo copy lazima iwe certified kama true copy of the original na wakili,usipokuwa na hiyo utalipishwa fine isiyopungua Tzs 30,000/-...sasa why toa hiyo fine au 5000 kila ukikamatwa wkt unaweza lipa atlst 10/20 thou kwa wakili aicertify hiyo copy, tena kama unarafiki wakili atakufanyia favor na kucertify bure
mm naomba kuuliza endapo umevhelewa kulipia bima, motor vehicle ...sheria inasemaje thidi ya nn trafic anapaswa kufanya juu yako?
huruhusiwi kuendesha gari bila leseni ya udereva,bima,road licence. polisi wa usalama barabarani ana mamlaka ya kukukamata,ingawa road licence utashughulikiwa na tra. gari ikitimia hawa jamaa hawakupi shida labda ujidai mjuaji.
halafu wengi wanaotoa hizi elfu 2/3/5 rushwa wana makosa, na walistahili kutoa 30,000 badala ya rushwa kwa polisi!
juzi jumamosi nimekamatwa na polisi wa usalama mara nne maeneo tofauti,wanalizunguka gari wakimaliza wananiambia uko kamili bwana kwaheri. hawana sababu ya kukutungia kosa wakati wanajua wenye makosa barabarani wako kibao watawabana.