Je ni kweli?

Je ni kweli?

Gordita

JF-Expert Member
Joined
Nov 4, 2013
Posts
11,579
Reaction score
55,632
Je ni kweli?
 
Attachments

  • 1421178730826.jpg
    1421178730826.jpg
    24.8 KB · Views: 344
Sana....hata gari lina matairi manne......litembeze na tairi mbili uone kama litakwenda........labda mkokoteni...........

tehe tehe tehe tehe tehe tehe tehe,ndio maana hawachoki.
 
Mwanamke akiamua kukupenda anakuweka pekeyako moyoni na akiamua kufanya ushenzi ni hodari zaidi ya mwanaume. Nb. Kila akifanyacho hujitoa kwa hali na mali haijalishi kizuri ama kibaya
 
Mwanamke akiamua kukupenda anakuweka pekeyako moyoni na akiamua kufanya ushenzi ni hodari zaidi ya mwanaume. Nb. Kila akifanyacho hujitoa kwa hali na mali haijalishi kizuri ama kibaya

Hakika... na wanaume wengi kulitambua hilo ni vigumu
 
Siku hizi mzani uko katikati hakuna aliyemzidi mwenzie.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom