Je ni kweli??

Kimbweka

JF-Expert Member
Jul 16, 2009
8,597
1,683
Habarini wakulu!
Kufanya oral sex ni sawa na kutenda kinyume na maumbile???
Nimeuliza hivi kwa sababu kuna jamaa yangu wa karibu anasumbuliwa na hili jambo kutokana na GF wake hapendi oral sex na kusema haina tofauti na kutenda kinyume na maumbile! Je hii imekaaje na ina ukweli ndani yake?
 
Pole Kimbweka kama unafanyiwa hivyo!
Kuna rafiki yangu anaitwa Mganyizi atakuja afafanue vizuri hapa, na naamini utatoka ukiwa na amani!
 
Hawa nao nimekosa la kuandika :confused2:

Shem nilitegemea weye hapa ndo ungejieleza hadi kwa lugha za malaika ili kuweka sawa hii maneno!...huh!
Au mods waiweke kule kwa Maria-Roza ili watu watoe ma'uzoefu nini?
 
Pole Kimbweka kama unafanyiwa hivyo!
Kuna rafiki yangu anaitwa Mganyizi atakuja afafanue vizuri hapa, na naamini utatoka ukiwa na amani!

PJ sio mimi ni mshikaji wa karibu ndiye kapatwa na mambo haya ila wataalamu waje wadadavue ili kuwapa ufasaha wa jambo hili na mwandani wake:welcome:
 
Shem nilitegemea weye hapa ndo ungejieleza hadi kwa lugha za malaika ili kuweka sawa hii maneno!...huh!
Au mods waiweke kule kwa Maria-Roza ili watu watoe ma'uzoefu nini?

hahaha shemeji powah ngoja ikihamishwa hapa ubaoni baba hapendi.....
 
Oral Sex ndio nini??:confused2::confused2::confused2: au alimaanisha oral paste?
 
Jamani hakuna mwenye jibu?
maana naona kila mtu anakwepa swali. haya tumsubiri Mganyizi na mkuu Fidel hawatakosa la kusema.
 
Hahahaha mkuu umenichekesha mpaka shemeji yako amenijia juu.
Huyu mkuu asome tu hapa Oral sex is sexual activity involving the stimulation of the genitalia of a sex partner by the use of the mouth, tongue, teeth or throat. ...
Sio dhambi imradi tu muhusika akubali kuzama hata chumvini nako tu imradi akubali ni makubaliano ila kuna nyeti nyingine ukizama unababuka mdomi wallah nakwambia.
 
:becky::becky::becky: jamani jamani Fidel80 una maexperience nini???
 
Hahahaha mkuu umenichekesha mpaka shemeji yako amenijia juu.
Huyu mkuu asome tu hapa Oral sex is sexual activity involving the stimulation of the genitalia of a sex partner by the use of the mouth, tongue, teeth or throat. ...
Sio dhambi imradi tu muhusika akubali kuzama hata chumvini nako tu imradi akubali ni makubaliano ila kuna nyeti nyingine ukizama unababuka mdomi wallah nakwambia.

mhhh....
 
hahaha mpwa bana vp mbona kimyaa umefichwa wapi?

Kuna gest moja mitaa ya msalato mpwa.....hawa wagogo hawa ni wa kuwaangalia sana manake unaweza kuharibu.....vipi chimbo la chawote lile....:confused2:
 
Back
Top Bottom