JE, NI KWELI??

JE, NI KWELI??

Marvelous King

JF-Expert Member
Joined
Jan 7, 2019
Posts
662
Reaction score
1,293
Watu husikika wakisema

""Ukichunguza nyumba za kishua ukiona zimeandikwa "KUNA MBWA WAKALI" jua kwamba wana binti chini ya miaka 25.

Akivuka hiyo miaka hajaolewa wanabadirisha bango linasomeka "KARIBU TUNAUZA BARAFU KWA BEI POA"__"""""

Je, ni kwelii????

Karibuni wakuu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ni kweli; binti akiwa nyumbani - akiwa chini ya miaka 25 anakuwa hajapevuka kiakili hivyo anakuwepo tu hapo nyumbani. Wazazi wake wanakuwa wakihofia kubebeshwa mimba akiwa nyumbani.

Binti huyo akivuka miaka 25 anawaweka wazi wazazi wake wampe mtaji ili aanze biashara hapo nyumbani. Wakimpa mtaji kwa kuwa hajui kinachoendelea mtaani anaamua kuanza kutengeneza barafu hapo nyumbani. Kwa kuwa hawezi kutembeza anaamua kuandika bango la kunadi biashara yake ya barafu.
 
[emoji817][emoji817]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom