Ajira Tanzania
Member
- Feb 8, 2017
- 79
- 27
Nyumba ziko wapi ? Awamu hii unaona watu wanajenga ?Mwambie asisome anapoteza mda tu akajifunze kuchomelea awe welder
Sheikh nimemaanisha welding inahusiana vipi na nyumbaNyumba ziko wapi ? Awamu hii unaona watu wanajenga ?
Welding si ndio kuchomelea mkuu ? Kuchomelea si wanachomelea madirisha ?Sheikh nimemaanisha welding inahusiana vipi na nyumba
wakat niko kweny daladala la gongo la mboto naelekea kumtembelea jamaa yangu pande za kisemvule kuna jamaa akawa anamuomba ushauri mwenzake..
huyo jamaa kasomea procurement sasa anamwambia mwenzake anataka kubadili fani asomee post graduate ya marketing ili aweze kubadili fani awe mtu wa marketing, kwa maana nyingine mtu anayesoma postgraduate ya kozi tofauti na bachelor yake anakuwa kama amebadili fani.
je ni kweli ilo jambo liko sahihi?
wabongo wameshindikanaAnajisumbua tu,,ataambulia kuuza karanga na korosho mitaani...kwa bongo mtu aliyeenda shule sijaona akijiajiri au kupata maendelei flani unless kuomba omba tu kuajiriwa
mkuu kuwa seriousMwambie asisome anapoteza mda tu akajifunze kuchomelea awe welder
Hiyo hela ya ada mwambie ajaribu ishu inginemkuu kuwa serious
wabongo wameshindikana
Hapa hata mimi nimeshangaa, nijuavyo mimi kwenda Kisemvule unapitia Mbagala rangi tatu (barabara ya Kilwa), labda kuna Kisemvule nyingine ya Gongo la mboto!Kwanza we ni muongo. Gari la gongo la mboto na halipiti Kisemvule and there's no way likapita huko. Uongo.
kuna gari za gongo la mboto - mbagala......unShuka mbagala alafu unapanda ya kisemvuleHapa hata mimi nimeshangaa, nijuavyo mimi kwenda Kisemvule unapitia Mbagala rangi tatu (barabara ya Kilwa), labda kuna Kisemvule nyingine ya Gongo la mboto!