Je ni kweli? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Je ni kweli?

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by Sebali, May 24, 2011.

 1. S

  Sebali Member

  #1
  May 24, 2011
  Joined: Apr 24, 2011
  Messages: 38
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Baadhi ya watu hudai kwamba wanawake hutumia muda mwingi kufikiria namna ya kujenga maisha, kama vile jinsi ya kuwa na maisha mazuri. Lakini kwa upande mwingine wanaume wanaonekana kutumia muda mwingi kufikiria suala la kimapenzi zaidi. Hivyo mwanamke huonekana ni mtu wa kufikiria mambo mazito wakati mwanaume anafikiria mambo mepesi mepesi tu! Je kuna ukweli katika hilo?
   
 2. M

  Marytina JF-Expert Member

  #2
  May 24, 2011
  Joined: Jan 20, 2011
  Messages: 7,037
  Likes Received: 44
  Trophy Points: 145
  ya nini kutugombanisha wanaume na wanawake kwa hisia zako?
   
 3. AshaDii

  AshaDii Platinum Member

  #3
  May 24, 2011
  Joined: Apr 16, 2011
  Messages: 16,247
  Likes Received: 282
  Trophy Points: 180
  Swali gumu kusema kweli....
   
 4. Dinipevu

  Dinipevu Member

  #4
  May 24, 2011
  Joined: Mar 15, 2011
  Messages: 99
  Likes Received: 25
  Trophy Points: 25
  magazeti ya uwazi,kiu,kasheshe,ijumaa na mengine ya udaku wateja wake ni wanaume? je yaliyomo humo ni mawazo ya kimaisha zaidi?
   
 5. afrodenzi

  afrodenzi Platinum Member

  #5
  May 24, 2011
  Joined: Nov 1, 2010
  Messages: 18,135
  Likes Received: 2,398
  Trophy Points: 280
  mmhhh mwanamke anafanya
  yote haya pamoja nakufikiria mapenzi
  (siwezi ongelea sana upande wa wanaume)
  ingawa bado tunatoana ngeu na partner zetu
  lakini tukikaa chini na kuchangia mawazo always
  utapata perfect product.. maana wote tuna akili
  tofauti.. lakini papo hapo napenda kuuaminiakili
  za wanaume
  kadhaa ziko ndani ya surali
   
 6. s.fm

  s.fm JF-Expert Member

  #6
  May 24, 2011
  Joined: Jul 8, 2009
  Messages: 669
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  As a man, mara nyingi anapokua na mwanamke anafikiria jinsi ya kumlinda, kumjali, kumfanya awe na furaha, kumpenda na kumuonesha jinsi gani anampenda, kumheshimu na mambo mengine ya kimapenzi zaidi! na katika hali ya kawaida hivi ndivyo wanawake wanataka ndio maana wengine ukimbeba tu kidogo atafuraaaaahi, hiyo ndo hali halisi jama! lakini kwa upande mwingine sasa kama ulivyosema yeye (mwanamke) yupo kimaisha zaidi (japo anakupenda pia) ndio maana watu wanasema....behind every successful man there is a woman behind,
   
 7. Lizzy

  Lizzy JF-Expert Member

  #7
  May 24, 2011
  Joined: May 25, 2009
  Messages: 22,224
  Likes Received: 244
  Trophy Points: 160
  Kweli...Uwongo...
   
 8. S

  Sharo hiphop JF-Expert Member

  #8
  May 24, 2011
  Joined: May 17, 2011
  Messages: 662
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 0
  Acha kusingizia mbona cjawaza kukutoa ngeu?
   
 9. S

  Sharo hiphop JF-Expert Member

  #9
  May 24, 2011
  Joined: May 17, 2011
  Messages: 662
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 0
  Sidhani, ngoja nifanye uchunguzi!
   
 10. afrodenzi

  afrodenzi Platinum Member

  #10
  May 25, 2011
  Joined: Nov 1, 2010
  Messages: 18,135
  Likes Received: 2,398
  Trophy Points: 280
  sababu
  unaogopa ntakurusha dana dana
  hahahahahhaahahha lol
   
 11. Gagurito

  Gagurito JF-Expert Member

  #11
  May 25, 2011
  Joined: Feb 11, 2011
  Messages: 5,610
  Likes Received: 25
  Trophy Points: 135
  Sidhan kama kuna ukwel wowote. Mwanamke huwa ni mvivu wa kufikiri, sote twajua hilo!
   
 12. p

  pointers JF-Expert Member

  #12
  May 25, 2011
  Joined: Apr 3, 2011
  Messages: 781
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 33
  mi nadhani tumwachie Mungu maana ndivyo alivyotuumba , mkitaka kujifanya watafiti mtaishia
  kupoteza muda tu hapa na wala hamtapata jibu maana km kufikiri wapo wanaume wavivu na wanawake wavivu pia wapo.
   
 13. Da Womanizer

  Da Womanizer JF-Expert Member

  #13
  May 25, 2011
  Joined: May 24, 2010
  Messages: 1,561
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 135
  Ngoja nikuongeze kengine. Kuna ka-newz kanazunguka katika duru za mtandao kuwa, Uzoefu unaonesha kuwa wale wanaume wenye mafanikio makubwa na power katika jamii wana very high sex drive, na wengi wana wanawake wengi sana. Vipi hii nayo ni kweli???
   
 14. Safety last

  Safety last JF-Expert Member

  #14
  May 25, 2011
  Joined: Mar 24, 2011
  Messages: 4,224
  Likes Received: 164
  Trophy Points: 160
  ni kweli sex drive inahusiano mkubwa na wenye hella anahitaji mtu wa kumstarehesha .abramovich,hugh hefner mswati, dominik s k
   
 15. Eiyer

  Eiyer JF-Expert Member

  #15
  May 26, 2011
  Joined: Apr 17, 2011
  Messages: 28,238
  Likes Received: 3,673
  Trophy Points: 280
  50%Tu!
   
 16. Sniper

  Sniper JF-Expert Member

  #16
  May 26, 2011
  Joined: Mar 8, 2008
  Messages: 1,944
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 135
  All generalizations are false including this one.
   
 17. Bishanga

  Bishanga JF-Expert Member

  #17
  May 26, 2011
  Joined: Jun 29, 2008
  Messages: 15,347
  Likes Received: 47
  Trophy Points: 0
  mfano nani AD?
   
Loading...