Je ni kweli? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Je ni kweli?

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by Landala, May 22, 2011.

 1. Landala

  Landala JF-Expert Member

  #1
  May 22, 2011
  Joined: Dec 24, 2010
  Messages: 940
  Likes Received: 51
  Trophy Points: 45
  Jana hapa mtaani kwetu tulipokuwa tunabadilishana mawazo ikaibuka mada kuwa akina dada wasomi kuanzia kiwango cha digrii na kuendelea eti wengi wao huwa hawaolewi na hata wakiolewa huwa umri wao huwa umeenda sana.Naomba wana jf wenzangu mtoe maoni yenu kuhusiana na hili suala.
   
 2. afrodenzi

  afrodenzi Platinum Member

  #2
  May 22, 2011
  Joined: Nov 1, 2010
  Messages: 18,135
  Likes Received: 2,398
  Trophy Points: 280
  Mmmhh
  Kuolewa kunatofautiana
  kila mtu anaolewa kwa muda wake
  Na sababu zake.. wengine wanananguliza
  ndoa halafu masomo wengine masomo halafu ndoa.. yote maisha na sioni tatizo liko wapi..
   
 3. NILHAM RASHED

  NILHAM RASHED JF-Expert Member

  #3
  May 22, 2011
  Joined: Nov 29, 2010
  Messages: 1,628
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  baaas hilo ndio jibu la swali hakuna kujadili hahahha masomo kwanza ndoa itafata ndoa kwanza masomo yatafata...
   
 4. afrodenzi

  afrodenzi Platinum Member

  #4
  May 22, 2011
  Joined: Nov 1, 2010
  Messages: 18,135
  Likes Received: 2,398
  Trophy Points: 280
  Jamani jamani Nilham
  ndo nini kupotea hivyo mpenzi...
  Mzima lakini wewe ??
   
 5. itnojec

  itnojec JF-Expert Member

  #5
  May 22, 2011
  Joined: Mar 31, 2011
  Messages: 2,191
  Likes Received: 223
  Trophy Points: 160
  tatizo ni kwamba wadada waliosoma sana wanajiona na wanadhani hamna mwanamume anayewafaa...kiburi cha elimu kinawasumbua.
  pili, wanaume baadhi wana inf complex ya kuwatokea wanawake wenye elimu kubwa kwa kudhan hawana hadhi na kuhis watatawaliwa na mwanamke msomi.
   
 6. p

  pointers JF-Expert Member

  #6
  May 22, 2011
  Joined: Apr 3, 2011
  Messages: 781
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 33
  wanawake wasomi huwa wanajitoa kwenye jamii kutokana na majukumu ya kazi,
  utakuta mwanamke anaondoka home alfajir na kurudi night kwa hiyo unakuta
  hana muda wa kukutana na watu na kma hana mpnz inmchukua muda sana kumpata kwa
  kuwa hajichanganyi na watu.
  pia hawana muda wa kutoka mara kwa mara hasa wafanyakazi wa bank wanaenda job mpaka jmosi sometime mpaka
  j2.
   
 7. NILHAM RASHED

  NILHAM RASHED JF-Expert Member

  #7
  May 22, 2011
  Joined: Nov 29, 2010
  Messages: 1,628
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  mzima habibty mimi miss wewe sana sana nipooo sijapotea habibty nilitaka unifanyie mpango na mie nikaonane na babu wa loliondo hivi bado yupooo??
   
 8. afrodenzi

  afrodenzi Platinum Member

  #8
  May 22, 2011
  Joined: Nov 1, 2010
  Messages: 18,135
  Likes Received: 2,398
  Trophy Points: 280
  Hahahahahahahah lolliondo tena
  Dahhhhhh niko free nchana wa leo
  naweza kukusindikiza hospital mwaya
  lolliondo mbali na nauli imepanda sana
  Nimefurahi sana kukuona
  tena my dear..
   
 9. NILHAM RASHED

  NILHAM RASHED JF-Expert Member

  #9
  May 22, 2011
  Joined: Nov 29, 2010
  Messages: 1,628
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  hahah me too nimefurahi sawa basi naja kukupitia nikapate dawa ya kuolewa mapema nimridhishe mtoa post hahah si pia ipo dawa hiyo?? jitaarishe nimepata gari ya kitalii lazma tufike mwaka huu hahah mbona watatukomaaaaaaaa
   
 10. afrodenzi

  afrodenzi Platinum Member

  #10
  May 22, 2011
  Joined: Nov 1, 2010
  Messages: 18,135
  Likes Received: 2,398
  Trophy Points: 280
  Hahahahahahahah lol
  gari la aina gani hilo mpenzi..
  BM,BENZI, JAGUAR mmmhhhh
  Au ndi yale toyota na nissan
  hahahshhah lol.. haya bi mzuri mie
  A hizi PHD dahhhh watakoma trip hii
  Hahahshhah lol
   
 11. Viol

  Viol JF-Expert Member

  #11
  May 22, 2011
  Joined: Dec 15, 2009
  Messages: 18,982
  Likes Received: 1,088
  Trophy Points: 280
  Sidhani,maana kuwa wengine wapo masters hata we ukiwa undergraduate wanakuelewa.Halafu mi wengi nawaona wapo open tu hwako complicated unapoongea nao,sio kama ambao hawakusoma sana,ambao hawakusoma ndo wanaringa sana.
   
 12. NILHAM RASHED

  NILHAM RASHED JF-Expert Member

  #12
  May 22, 2011
  Joined: Nov 29, 2010
  Messages: 1,628
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Nimepata jaguar...toyota na nissan si naskia hapana kufika kwa loliondo hahhahahah lool
   
 13. Speaker

  Speaker JF-Expert Member

  #13
  May 22, 2011
  Joined: Aug 12, 2010
  Messages: 6,357
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 135
  Ndio,wengi hawaolewi maana wanakua wamechezewa sana chuoni na hawatamaniki!!!
  mmh,madongo yatayo fata hapa sijui tu
   
 14. afrodenzi

  afrodenzi Platinum Member

  #14
  May 22, 2011
  Joined: Nov 1, 2010
  Messages: 18,135
  Likes Received: 2,398
  Trophy Points: 280
  Hahahahahahahah
  dahhh umenichekesha kweli
  haya bi mzuri nakusubiria hahaha lol
   
 15. A

  Aisha Adam JF-Expert Member

  #15
  May 22, 2011
  Joined: Apr 17, 2011
  Messages: 465
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  Sa hapo nilipobold kudhalilishana mkuu, sio wote bana wengine twajiheshimu na tunakuwa na malengo yetu.Na kuolewa ni majaliwa ndg
   
 16. Eiyer

  Eiyer JF-Expert Member

  #16
  May 23, 2011
  Joined: Apr 17, 2011
  Messages: 28,238
  Likes Received: 3,676
  Trophy Points: 280
  Elimu ufunguo wa jeneza,hii aliisema bonta kwenye moja kati ya nyimbo zake,sijui alikuwa anamaanisha nini!
   
 17. Sniper

  Sniper JF-Expert Member

  #17
  May 23, 2011
  Joined: Mar 8, 2008
  Messages: 1,944
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 135
  Wengi wao huwa wanaoanaga na wapenzi wao wa vyuoni. Sasa ikitokea hakuwa na mpenzi chuoni, au walipigana chini, akija huku mtaani ndo inakuwa inshu kupata tena mpenzi. Kuna wadada nawajua wana masters zao ila full frustrations za kupata wachumba
   
 18. TheChoji

  TheChoji JF-Expert Member

  #18
  May 23, 2011
  Joined: Apr 14, 2009
  Messages: 672
  Likes Received: 176
  Trophy Points: 60
  Matatizo hapa yako mengi kidogo. Ila ni kweli kiasi.
  1. Wasomi wengi hawana muda wa ku sosholaiz. Mda wote wako bize na kazi, research, sijui presentations, projects n.k.
  2. Wengi wanaishi kwene nyumba 'fenced', wana drive. Hamna muda wa kukutana na vijana waoaji.
  3. Maofisini wengi wa vijana wakiume wameoa. Dada zetu wasomi wanaishia kutembea na waume za watu au vijana wadogo. No ndoa
  4. Wakishaona umri unawatupa mkono wanakua frustrated na kujikuta wanafanya wrong decisions mf kumkubali kila kijana. Wanazidi kuharibu.
  5. N.k
   
 19. BAK

  BAK JF-Expert Member

  #19
  May 23, 2011
  Joined: Feb 11, 2007
  Messages: 70,759
  Likes Received: 83,056
  Trophy Points: 280
 20. AshaDii

  AshaDii Platinum Member

  #20
  May 23, 2011
  Joined: Apr 16, 2011
  Messages: 16,247
  Likes Received: 282
  Trophy Points: 180

  Asante....
   
Loading...