KijanaHuru
JF-Expert Member
- Jan 7, 2017
- 1,822
- 2,290
- Thread starter
- #121
Umenena Vyema MkuuKuna chakula cha asili umepewa tangu udogo na ni antibiotics ila huijui
Maana kuna wanyama wengine huwa hawaugui hivyo kwa majani wanayokula
Mtaalamu wa miti shamba akitokea anabadilisha taaluma kuwa na kuitwa mchawi, hapo ndio tatizo la kukosa wataalamu linaanza
Sent from my SM-G570F using Tapatalk