Je, ni kweli wenye damu kundi O huwa hawana risk kubwa ya magonjwa ya maambukizi? Hasa ya magonjwa zinaa?

Mi ni A+ pia sinaga habari za kuuguaugua, niko very strong & naturally active.

Ngw'ana Kabula
 
Damu kundi "O" limegawanyika katika makundi mawili ambayo ni "O" Negative(Hasi) na "O" Positive (Chanya).

Katika kundi hilo wenye kundi Chanya wana Tabia nyingi sana amabzo weyewe hawajijui kama tabia hizo ni asili ya damu kudi hilo.

1.WENGI NI WAPENDA NGONO

Asilimia kubwa ya watu wenye kundi hili la damu wanapenda sana ngono kuliko kitu kingine,haswa wanaume wenye damu kundi hili wanapenda wanawake wenye makalio makubwa, wao hawaangalii sura,ili mwanamke amaye amejazia nyuma ndio wanavutiwa zaidi.

Kwa wanawake wenye damu kundi hili pia nao wanapenda sana mchezo huu,wana mvuto wa kupendwa nna wanaume.

2.NI WASEMAJI SANA

Asilimia kubwa ya watu wenye damu kundi hili wanapenda sana kusema(ni wachangamfu) haswa katika jamii ya watu.

3.NI WATOAJI WAZURI

Wengi wa watu wenye kundi hili wana moyo wa kutoa kuliko kupokea,huwa hawapendi wenzao wapate shida ila wengi wana asili ya kuutangaza msaada wao ukiwaudhi.

4.MARADHI.

Maradhi makubwa yanayowasumbua ni malaria,kichwa kuuma upande mmoja(kipanda uso),mafua au kutoka damu za pua haswa wanapokula nyama,maziwa.

5.NGIRI
Kwa wanaume wenye damu kundi hili asilimia kubwa wana maradhi ya tumbo kujaa gesi haswa wanapokula baadhi ya vyakula haswa chipsi.

6.WANAFANANA NA WATOTO WAO
Wengi wakizaa huwa wanafanana sana na watoto wao iwe sura,tabia au mwendo na mara nyingi katika maisha yao huishi au kuzaa na mpenzi zaidi ya mmoja.

ALAMA ZAO
Alama kubwa za watu wenye damu kundi hili ni kuwasha na masikio kwa ndani,fangasi za vidole vya miguu kwa wanaume na kwa wanawake vidole vya mikono haswa wakifua,pua kuwasha kwa ndani.

Na Mwangaza Blog
najiona mimi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Umesemaa kweli kabisa
Japo mim sijawah ugua fungus za vidole sijui nini
Ila mengine yote ni ukwelii mtupuu
Mbona umeelezea upande mmoja
Halaf hujasema je ni kweli wanaweza wasiugue mara kwa mara
 
Nikiri kabisa kwamba jibu ni NDIYO. Binafsi nina hiyo blood Group O na nimeshatembea / nimebanduana na Wanawake Watatu wenye UKIMWI / Dally Kimoko kabisa ambapo wawili nilijua kabisa ila niliamua tu ' Kujilipua / Kujitoa mhanga ' na mmoja sikujua ila baada ya muda wa miezi mitatu nikaenda Kupima zaidi ya Hospitali Nne ( 4 ) tena Kubwa na zinazoaminika kabisa hapa Tanzania ambapo nilipima kwa nyakati tofauti na kote huko majibu yangu yalikuwa ni Negative ( yaani sipigi gitaa la Dally Kimoko / sina UKIMWI )

Sikuishia tu hapo nilienda mbali zaidi ambapo nakumbuka niliwatembelea Madaktari ' Nguli ' kabisa wa hizo Hospitali ambapo niliwaelezea wote hali halisi ( yaliyonikuta ) kwa wale Mademu Watatu niliowabandua / ngonoka nao ' kavukavu / nyama ndani nyama nje ' ndipo wakaniambia nikapime blood group yangu na nilipowaletea majibu wakaniambia kuwa nina bahati sana kwani isingekuwa Mimi kuwa blood group O basi leo huenda nisingekuwa nanyi tena humu JF nikitiririka na kuserereka.

Nakumbuka walichoniambia ni kwamba 99.999% ya Watu wenye blood group O kama ya GENTAMYCINE wao UKIMWI / Dally Kimoko kwao kuwapata ni ngumu sana kutokana na Kinga za asili kabisa ambazo tunazo zilizo ' tishio ' kabisa kwa Virusi vya ' Ngwengwe '.

Ukiachilia mbali hii bahati nyingine iliyopo ni kwamba Mimi pia ni asthmatic na imethibitika na Wataalam wa Afya duniani kuwa 99.99999% ya Watu wenye Ugonjwa wa Pumu ( asthma ) ila iwe ya Kurithi kama Mimi hawawezi kupata Dally Kimoko / UKIMWI hata iweje kutokana na kwamba ile hali ya Pumu huwa inaikera mno wale Virusi wa ' Ngwengwe ' na hukimbia mbali.

Namshukuru sana Mwenyezi Mungu kwa kuniumba na blood group O halafu kwa kunipa Ugonjwa wangu huu mzuri japo kuna mda huwa unanitesa wa Pumu ila ni bora niteseke na Pumu kuliko kulikung'uta vilivyo gitaa la Dally Kimoko halafu ikaja kuwa balaa hapa duniani.

Nawaomba sana wote wenye blood group O na wenye tatizo la Pumu ( asthma ) popote mlipo anzeni kushangilia na jipongezeni kwani nyie kupata ' Ngwengwe ' ni ngumu sana hata iweje. Na kama haitoshi Watu wenye blood group O na Pumu wengi wao huwa ' wamebarikiwa ' sana na Mwenyezi Mungu kwani Mungu huwakinga hivyo mapema kwakuwa kuna Kazi zake ambazo anataka kuzifanya hapa duniani hivyo atawatumia wao. Hata Philanthropists wengi sana duniani, Viongozi wazuri wa Dini, Watu wema na wacha Mungu wa Kweli kabisa na waliotukuka wana damu ya group O na tatizo la Pumu. Ni vipenzi sana wa ' Maulana / Allah '.
Hata mim pia nina asma na ni group o ila sikumbuki + au -
Mi huumwa kichwa tu mara nyingi na mafua yakinishika ndio hupata homa
Ina maana waathirika wengi ni wenye magroup mengine Ab,A??
Tusijeshikiana akili haa?
 
Damu kundi "O" limegawanyika katika makundi mawili ambayo ni "O" Negative(Hasi) na "O" Positive (Chanya).

Katika kundi hilo wenye kundi Chanya wana Tabia nyingi sana amabzo weyewe hawajijui kama tabia hizo ni asili ya damu kudi hilo.

1.WENGI NI WAPENDA NGONO

Asilimia kubwa ya watu wenye kundi hili la damu wanapenda sana ngono kuliko kitu kingine,haswa wanaume wenye damu kundi hili wanapenda wanawake wenye makalio makubwa, wao hawaangalii sura,ili mwanamke amaye amejazia nyuma ndio wanavutiwa zaidi.

Kwa wanawake wenye damu kundi hili pia nao wanapenda sana mchezo huu,wana mvuto wa kupendwa nna wanaume.

2.NI WASEMAJI SANA

Asilimia kubwa ya watu wenye damu kundi hili wanapenda sana kusema(ni wachangamfu) haswa katika jamii ya watu.

3.NI WATOAJI WAZURI

Wengi wa watu wenye kundi hili wana moyo wa kutoa kuliko kupokea,huwa hawapendi wenzao wapate shida ila wengi wana asili ya kuutangaza msaada wao ukiwaudhi.

4.MARADHI.

Maradhi makubwa yanayowasumbua ni malaria,kichwa kuuma upande mmoja(kipanda uso),mafua au kutoka damu za pua haswa wanapokula nyama,maziwa.

5.NGIRI
Kwa wanaume wenye damu kundi hili asilimia kubwa wana maradhi ya tumbo kujaa gesi haswa wanapokula baadhi ya vyakula haswa chipsi.

6.WANAFANANA NA WATOTO WAO
Wengi wakizaa huwa wanafanana sana na watoto wao iwe sura,tabia au mwendo na mara nyingi katika maisha yao huishi au kuzaa na mpenzi zaidi ya mmoja.

ALAMA ZAO
Alama kubwa za watu wenye damu kundi hili ni kuwasha na masikio kwa ndani,fangasi za vidole vya miguu kwa wanaume na kwa wanawake vidole vya mikono haswa wakifua,pua kuwasha kwa ndani.

Na Mwangaza Blog
100%

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Habari wana jamii wenzangu,

Naomba kujua juu ya tetesi hizi ninazozisikia sana mitaani kuwa wale ambao wanakuwa na Group O katika makundi ya damu huwa hawana risk ya kubwa ya kupata magonjwa hasa yale yanayoenezwa kwa njia ya kujamiana ikiwemo HIV/AIDS. Pia nasikia ni watu ambao huwa wanaumwa mara chache sana tofauti na watu wa magroup ya amu mengine.

Na ukweli wowote unaoujua juu a watu hawa wenye damu Group O.

Naombeni mnijulishe
Mtu kuumwa au kutoumwa mara kwa mara inategemea na kinga yake ya mwili (body immunity) ilivyo. Km kinga ipo juu, mtu atakua kwenye usalama zaidi wakutopatwa na magonjwa mara kwa Ila km kinga ipo chini magonjwa ya mara kwa mara yatamwandama. Hizo nyingine ni bwebwe.
Fanya utafiti mdogo tu kuhusu watu wanapatwa na magonjwa ya mara kwa mara utagundua tatizo ni kinga ya mwili kuwa chini
 
Back
Top Bottom