Je ni kweli wazazi wetu walianza NGONO baada ya ndoa?

sasa sijui unataka uwawazie wazazi wako mambo ya kingono.Namna wanavyochakachuana au vipi?
 
Wazazi wetu wengi walikua wameanza ngono kabla ya ndoa... Bibi/Babu zetu on the other hand wao ilikua issue kubwa sana kuzini - mana ndo ilikua lugha yao...
 
Wazazi wetu wengi walikua wameanza ngono kabla ya ndoa... Bibi/Babu zetu on the other hand wao ilikua issue kubwa sana kuzini - mana ndo ilikua lugha yao...

wazazi unaowazungumzia hapa ni wapi ? All i can say kizazi tulicho nacho sasa watu wengi wamekuwa na mahusiano ya kimwili kabla ya ndoa
 
Hata wao baaadhi walikua wanaanza kabla...sema haikua kwa uwazi kama tufanyavyo sisi kila mtu anajua fulani na fulani wanatoka pamoja na wanajuana kimwili!!!
 
YES
Mama kasema, yeye mchumba alitafutiwa na baba yake (babu) wala walikuwa hawajazoeana wakafunga ndoa,
anasema lakini alijifunza kumpenda wakiwa kwenye ndoa na taratiibu akamzoea na kujikuta anampenda AJABU.

Pia amesema tatizo la vijana wa siku hizi wanapenda KUTEST kwanza!
Hata kama umeongopewa utaamini. Wazee wetu wote kila mtu anadai alikuwa wa kwanza darasani je nalo unaamini ?
 
wazazi wetu walikuwa kama sisi tu, ngono zembe, mapenzi nje ya ndoa kwa sana tu. Wanatuzuga ili tuamini kuwa wao walikuwa ni watakatifu sana enzi zao.
 
YES
Mama kasema, yeye mchumba alitafutiwa na baba yake (babu) wala walikuwa hawajazoeana wakafunga ndoa,
anasema lakini alijifunza kumpenda wakiwa kwenye ndoa na taratiibu akamzoea na kujikuta anampenda AJABU.

Pia amesema tatizo la vijana wa siku hizi wanapenda KUTEST kwanza!

ila hiyo avatar yako kwa kweli inaniondolea amani kabisa, kwa kweli kama hujibu PM basi badili avatar, vinginevyo nitakupiga ban, hujui mi ndo invisible? the unbeatable JF king??

kama kawaida turudi chemba tuzoze kidogo bibie, hapa naona kuna wenye wivu kibao!
 
wazazi unaowazungumzia hapa ni wapi ? All i can say kizazi tulicho nacho sasa watu wengi wamekuwa na mahusiano ya kimwili kabla ya ndoa

Saizi imehalalishwa mno tofauti na enzi za wazazi wetu... Miaka ambayo mama zetu wanaolewa tabia ya ngono kabla ya mapenzi ilikua imeshaanza ila kwa uficho saana. Nasema hivyo tokana na ukweli kua babangu kabla ya kuona na my mom alikua na a kid tayari na mwanamke alompenda sana na ilitakwa waoane... but huyo mwanamama alidengua baada ya kupata bwana mwenye pesa regardless kua alisha zaa na babangu na kua walikua katika stage ya kuoana...

Mfano wa pili nina shangazi yangu alizaa home mwanaume akakimbia baada ya yeye kupata mimba... she was fortunate akapata mume mwingine na wanaishi mpaka leo with five more kids....
 
Partner fafanua pleeeeeeze!!!

Partner nakwambia thread zimekua nyingi mpaka nyingine unapitiwa, hapo bado private matters ...lol... enways nimerudi, angalia hapo nilivyo post kumjibu Yakuonea and tell me if umeridhika ili kama bado i try again... siwez acha partner ana hang....lol
 
Back
Top Bottom