Je ni kweli wanawake wanaongozwa na hisia?

Je ni kweli wanawake wanaongozwa na hisia?

Bujibuji Simba Nyamaume

Platinum Member
Joined
Feb 4, 2009
Posts
78,173
Reaction score
166,154
Jamani eti ni kweli kuwa wanawake wanaongozwa na hisia?
Kama ndio, je ni nini faida za kuongozwa na hisia.
Je ni zipi hasara zake?
 
Kwani wanaume wanaongozwa na nini?
Au kengele na kirungu huko chini?
 
wanaume hawana la maana, zaidi ya kutusema vibaya kila siku.
Sasa nataka waseme wao wanaongozwa na nini?
Usiseme wanaume wote, si wanaume wote kazi zao kuwasema wanawake vibaya :biggrin:
 
wanawake!!!!!!!!!!!wanawake!!!!!!!!!!!!!!!wanawake!!!!!!!!!!!!!wanawake !!!!!!!!!!!!!everyday sisi jamani jinsi gani inaonyesha maisha bila wanawake hayaendi kwenu nyie wanaume esp Bujibuji ni nn mbaya.
 
wanaume kweli 98% tunaendeshwa na hisia za kugegedana. ila look at what we hava accomplished with that 2% that we spend on creative things....mwanadamu katua mwezini...sii kitoto.
 
Hisia ndio nini?
Senses au
Emotions?
Inategemea nini unachokifanya, kuna vinavyohitaji emotions, reasoning, reflex etc!
Be specific ndipo tutakapokuambia lini na kwa Mazingira gani tunatumia kipi au mchangano wa nini na nini!
 
Back
Top Bottom