Hakuna binadamu ambaye hajali kuhusu mwonekano wa mpenziwe au mume/mke,ila sema tunatofautiana katika hilo,wanawake huthamini sana utu wa mwanaume mfano upole,kujali na jinsi anavyoshughulika na wengine lakini hii ni baada ya kuridhishwa na mwonekano wa huyo mwandani wake,wanaume wao mwonekano una nafasi kubwa sana kwa mwenzi
Amtakaye na ndio maana hata wanaume wengi hawaoni shida kumake love na msichana ambaye amemwona tu kwa mara ya kwanza na kumtamani.ila kwa wadada ni tofauti kwani wao kufikia hatua ya kumake love na mkaka ni mpaka awe amejihakikishia tabia na imani kwa mkaka hata awe na mvuto kiasi gani.{hii inawahusu wife materials na sio money maker materials}