Je ni kweli wanaume ni color blind?

Je ni kweli wanaume ni color blind?

Duh nimewahi gombana na wife kisa tunatafuta nguo ya blue bahari yenye rangi ya kupauka kwa ajili ya kuvaa harusini, tulizunguka maduka kibao kariakoo kila nguo ninayomuonyesha anasema sio hadi nikamind kweli ila nguo aliyoitaka mwishoni tukaipata

Ha aha ahaaa... Jamaa umenivunja mbavu!!! Nakumbuka mtifuano wa colors wakati wa ndoa yangu daaah!!! Nikajua huyu mchumba msumbufu... Kumbe nina blindness ya rangi
 
We are not colour blinds so far. Kwa mfano mm najua rangi almost zote. Sema sisi wanaume huwa hatufuatilii rangi. Mi sina mda na rangi ninachojali kupendeza
 
Duh, ndo maana huwa naogopa hata kutaja majina ya rangi, maana kila nikitaja lazima nilekebishwe
 
Mmenishika pabaya leo!!!!

Najua nyeupe, nyeusi na nadhani labda na nyekundu!

Msimwambie mtu yeyote please members wenzangu.

CC Karucee
Lol. Honey hata nyekundu utakuwa huijui. Orange nyekundu, pink nyekundu.
 
Last edited by a moderator:
ilikuwaga inanipa shida sana..mpaka pale nilipoamua kulivalia njuga hilo swala..now niko vizuri kidogo
 
We are not colour blinds so far. Kwa mfano mm najua rangi almost zote. Sema sisi wanaume huwa hatufuatilii rangi. Mi sina mda na rangi ninachojali kupendeza

We're not puting too much attention on small details like colors.
 
We are not colour blinds so far. Kwa mfano mm najua rangi almost zote. Sema sisi wanaume huwa hatufuatilii rangi. Mi sina mda na rangi ninachojali kupendeza

We're not puting too much attention on small details like colors.
Issue sio kujua issue ni kuziona...., mfano kuna rangi kama dark blue kwa umbali fulani mru anaweza kuona kama black..

Na sababu traits za ku-per sieve baadhi ya rangi inabebwa kwenye sex chromosomes X utaona kwamba kama mama yako akiwa color blind watoto wote wa kiume watakuwa color blind na wa kike wanaweza wakawa carrier tu, baba yako akiwa color blind na mama yako carrier mwanaume anauweuzo mkubwa wa kuwa color blind pia hata kama baba yako hana hii trait na mama ni carrier bado mwanaume ana uwezo mkubwa wa kuwa color blind...

Kwahio probability ni kubwa kwa wanaume kuwa color blind kuliko wanawake (ingawa wanawake wapo wengi tu ambao ni carriers)

Kwa ufupi color blindness inakuwa carried kwenye X chromosome na mwanaume ni XY na mwanamke ni XX kwahio mwanaume akipata tu hio (X moja ) XY wakati mwanamke akipata (X moja ) ni carrier XX mpaka apate zote mbili XX (kutoka kwa baba na mama) na hapo akipata hizo watoto wake wote wa kiume watakuwa na color blindness
 
Sababu color blindness ni genetic trait...

Red na Green color blindness inakuwa carried na X chromosome kwahio wanawake wanaweza kuwa carrier wakampatia mtoto wao au baba akampatia mtoto wake, kwa mwanamke kupata hii mpaka mama awe nayo au awe carrier na baba awe nayo, wakati mtoto wa kiume anaweza kupata hii kwa color blindness baba au mama carrier..., hivyo wanaume wengi wana hili tatizo

Blue color blindness haiwi carried na sex chromosomes hivyo zinawa-affect wote equal wake kwa waume

Kumbe kuna maelezo ya Kiayansi, wanaume msijisikie vibaya.
 
Kumbe kuna maelezo ya Kiayansi, wanaume msijisikie vibaya.
Ila kama mama sio carrier basi mwanaume hawezi kumpa mtoto wake wa kiume hii trait ila anaweza akamfanya mtoto wake wa kike awe carrier... (kumbuka baba anatoa Y chromosome kwa mtoto wake wa kiume ambayo haina hii kitu na X chromosome ambayo ina hii kitu)

Ila kama mama ni carrier basi kuna 50 percent chance ya watoto wake wa kiume kuwa color blind na wa kike kuwa carriers kama baba ni mzima.... ila kama na baba ni mgonjwa basi kuna uwezekano wa watoto wake wa kike kupata hii kitu pia, kwahio mama kabla haujamchapa mwanao kwamba ni mpuuzi haoni baadhi ya rangi huenda ni wewe ndio umempa hio kitu na sio baba yake
 
Hilo somo nimefeli. Mimi najua nyeusi tii, nyekundu damu ya mzee na nyeupe pee
 
Hahahaaa....niliwahi kuambiwa pink ya zain nikachoka kabisa!! Why not just pink, red, blue.....and make my life easier...!!??
 
Kweli kabisa nakumbuka nilibishana sana nao juu ya rangi nyekundu na maroon, kumbe mimi Ndio nilikuwa sijui!
 
Back
Top Bottom