Goodness. Kuna pants my beloved husband anasemaga ni za khaki wakati ni green and I just had to get rid of them.
You guys are colour blind. Accept it and make it easy for us while picking your clothes.
Bora wewe,mimi najua rangi nyekundu,kijani,njano,nyeupe,nyeusi,zambarau na kaki tuAisee inawezekana kweli maana huwa tunabishana sana na wife kuhusu rangi flani hivi yeye anasema ni kijani ya mgomba mkavu lkn mie naona ni brown sasa kwa kweli hapo simwelewi kabisaaa
Hype Williams is the only man who's allowed to have anything to do with colors so far.