Je, ni kweli ukiwa na Diploma huwezi kusoma Degree mpaka uwe na credit tatu (3) za O-Level

Me naomba kuuliza iv credit ni nini?maana cielew naona mnasema tu mara3.Msaada kuuliza c ujinga.

Sent using Jamii Forums mobile app
Kwa form four credit inaanzia ufaulu wa daraja A mpaka C
Ukipata C, B au A unakua na credit
Ukipata D ni pass.
Ili usome A level kwa Tanzania unapaswa kuwa na credit kuanzia 3 yaani ufaulu kwa masomo Matatu usiopungua daraja C kwamba upate A, B au C kwa masomo Matatu.
D ni pass ukipata D nne unaruhusiwa kusoma Cheti then Diploma na ukaendelea elimu ya Juu zaidi.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Huwez kusoma degree kama huna d4 hata kama diploma una first class,na hii kanuni ina apply kwa vyuo vyote sababu ni sheria ya TCU na syo chuo

Sent using Jamii Forums mobile app
Ili upate AVN kutoka NACTE unapaswa kuwa na walau D nne Kama hauna D nne huwazi kupata AVN ili uombe chuo kwa ngazi ya degree.
Utapaswa kureseat upate D nne ndio uendelee

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwenda form five badala ya kwenda shortcut ,ie, technical college au health ni ushamba jamani wapeni hii technique wadogo zenu wasipoteze muda wa bure

Sent using Jamii Forums mobile app

KAMA ALIFAULU KWA ALALI ANAJIAMIN KWANINI WASIOENDE FORM 5? KWANN AUNGANISHE! THINGS CHANGE ITAFIKA MAALI SERIKALI IBADILISHE, KULIKUA KUNAMCHAKATO/UVUMI WAKUWAZUIA AMBAO AWAJA PITA FORM SIX KUJIUNGA DEGREE SO LISEMWALO LIPO,,,
 
Kwa form four credit inaanzia ufaulu wa daraja A mpaka C
Ukipata C, B au A unakua na credit
Ukipata D ni pass.
Ili usome A level kwa Tanzania unapaswa kuwa na credit kuanzia 3 yaani ufaulu kwa masomo Matatu usiopungua daraja C kwamba upate A, B au C kwa masomo Matatu.
D ni pass ukipata D nne unaruhusiwa kusoma Cheti then Diploma na ukaendelea elimu ya Juu zaidi.

Sent using Jamii Forums mobile app
Ok shukran kwa kunielewesha

Sent using Jamii Forums mobile app
 
KAMA ALIFAULU KWA ALALI ANAJIAMIN KWANINI WASIOENDE FORM 5? KWANN AUNGANISHE! THINGS CHANGE ITAFIKA MAALI SERIKALI IBADILISHE, KULIKUA KUNAMCHAKATO/UVUMI WAKUWAZUIA AMBAO AWAJA PITA FORM SIX KUJIUNGA DEGREE SO LISEMWALO LIPO,,,
Kwani six ni kitu gani bhna.. Cheti ya maana ni cha form 4 tu
 
KAMA ALIFAULU KWA ALALI ANAJIAMIN KWANINI WASIOENDE FORM 5? KWANN AUNGANISHE! THINGS CHANGE ITAFIKA MAALI SERIKALI IBADILISHE, KULIKUA KUNAMCHAKATO/UVUMI WAKUWAZUIA AMBAO AWAJA PITA FORM SIX KUJIUNGA DEGREE SO LISEMWALO LIPO,,,
Kwanza acha kutumia herufi kubwa unatuumiza macho, pili naona umekaza sana shingo kukomaa wenye D4 wasiende chuo sijui unalipa wewe Tuition Fees, tatu jifunze kuandika kwanza ndio uwe unakuja kutype hapa ALALI, MAALI ndio nini?? afu una A9 kwenye academic certificate yenye sahihi ya NDALICHAKO
 
NAONA UMEPANIC SO TAKE IT EASY. uumchezo auitaji asira!..pia napata sana kazi kukuelewa....una zero KTK emotional control try to improve at least ifike ktk level ya D then nita reply your comment
 
NAONA UMEPANIC SO TAKE IT EASY. uumchezo auitaji asira!..pia napata sana kazi kukuelewa....una zero KTK emotional control try to improve at least ifike ktk level ya D then nita reply your comment
Wewe nae Mzee wako aliuza ng'ombe apeleke ng'ombe nyingine shule!!

Acha ufamba Mkuu!!!

Typed Using KIDOLE
 
Wewe nae Mzee wako aliuza ng'ombe apeleke ng'ombe nyingine shule!!

Acha ufamba Mkuu!!!

Typed Using KIDOLE

Hahaha thank you bro... ila nimegundua kwenye wisdom una ''ZERO'',,, by the way how old are you?...if your above 17 years your mental age is less than average.... nazan kwenye hii forum kuna ma expertise wa guidance and counseling and ma psychologist wakusaidie bro
 
Kwani kinachompeleka degree, huyu diploma holder ni cheti cha form 4 au cha chuo/stashahada..?
Kama ingekuewa cheti cha form 4 basi hata form 6 failure wangekuwa wanaenda bachelor kwa credit zao nzuri za form 4.. Acha opopoma kiongozi, wenye elimu zao wameona kabisa,huyu wa diploma ana-qualify kabisa kuchukuwa bachelor..
Kumbuka hyo diploma inapatikana si chini ya miaka mitatu then ana pass zake 4 nakuendelea kwanini asisome bachelor..
Sijui hzo credit zako 10 zimekusaidia nn maishani..?
Acha upopoma, Chuo hakuna jipya unakuta jitu kichwani ni Empty linaegemea assignment tu tena za kukopi kwa watu na kazi za group hata. Wakati wa presentation lipo tu halina hata mchango wa kueleweka ila kwa kuwa mfumo wa rating wa chuo unalibeba basi linaondoka na bachelor. Mengine yanapata bachelor za rushwarushwa tu. Haya mambo tumeyaona vyuoni.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mtu anaweza akawa na D nne akawa kapitia diploma na kusoma degree na akapata first class na yule mwenye A zotee o level akashindwa kuipata iyo

Sent using Jamii Forums mobile app
Kuna vyuo na vyuo boss,na kozi na kozi.
Nimeshuudia watu wengi waliopitia diploma wakishindwa kutoboa degree (disco) ,sababu kuna kozi nyingine miaka miwili ya kwanza ni marudio ya A-level Tu harafu miaka miwili na kuendelea ndio unaanza kozi usika.
 
Acha upopoma, Chuo hakuna jipya unakuta jitu kichwani ni Empty linaegemea assignment tu tena za kukopi kwa watu na kazi za group hata. Wakati wa presentation lipo tu halina hata mchango wa kueleweka ila kwa kuwa mfumo wa rating wa chuo unalibeba basi linaondoka na bachelor. Mengine yanapata bachelor za rushwarushwa tu. Haya mambo tumeyaona vyuoni.

Sent using Jamii Forums mobile app
Logic ya ku-undermine reply yangu hata sijaiona. Sawa chuo hamna jipya sasa tuambie wapi kuna mpya..?
 
sio credit 3 za o level bali pass 4 ....kwa lugha nyepesi uwe na D 4 za o level hiyo ndio min entry Qualification
 
Back
Top Bottom