vnn
JF-Expert Member
- Oct 6, 2015
- 3,030
- 7,499
Wakuu
Kuna jambo nalisikia lakini sitaki kuamini kama ni kweli
Eti ni kweli mtumishi yeyote wa umma kwa sasa akitaka kwenda ku~upgrade (kujiendeleza kimasomo), mshahara wake unasitishwa mpaka atakapomaliza masomo?
Inamaana kama unaupgrade miaka miwili basi hautapata mshahara tena bali utajisomesha kwa hela zako mwenyewe?
Naomba mwenye kufaham hili afafanue!