Richard
Platinum Member
- Oct 23, 2006
- 16,630
- 25,586
Leo nimejaribu kuingia katika tovuti ya MillardAyo.com na nimepata ujumbe huu:
Kama ni kweli kwanini Millard Ayo ashindwe kulipia ada hizi ambazo ni muhimu zaidi kwa sasa?
Au ameamua kujikita katika IG YouTube na X?
Lakini hata kama akiamua kujikita huko, bado tovuti ndo mama wa shughuli zake mtandaoni.
je ni kweli pesa hii ya ada haijalipwa na sababu ni nini kwa tovuti hii muhimu kufungwa kwa muda kutokana na deni la ada?
Overdue Hosting Payment - Site SUSPENDED!
This website is down due to the client's failure to pay for hosting for the past 5 years.
It will be back online once this is resolved!