Hahaaaa!!halafu na kwenye mfumo wa tra , wanabadirisha?maneno ya kijiweni hayo.Je nikweli sikuhz plate namba D zinachongwa tu kihuni hata Kama gari lilikuwa namba B..inabadilishwa na kuwa namba D ili baadae ikauzwe kwa Bei ya juuu...?..naomba ufafanuz
Kunamtu nilimkuta chanika anapakia viroba vya mchanga kwenye buti Primio namba"D"nikamwambia live kwajinsi unavyoifanya hii gari niwazi sio gari yako umeazima tu.Ni utunzaji mbovu ndiyo unafanya gari lichakae,
Namba D unakuta limechoka kama lori la shule za serikali..
Mkuu, nilitumiwa e-mail kuwa nili-fail ile Oral Interviewnshawahi ckia hii ktu but sna uhakika
Tupo DXHivi usajili umeshafika DZ sa hv?
Basi DZZ hiyo Hadi June mwakani kumbeTupo DX
Hapana..