Je, ni kweli ''Penzi la kwanza halifi"

Je, ni kweli ''Penzi la kwanza halifi"

The Dictator

JF-Expert Member
Joined
Jul 20, 2018
Posts
4,451
Reaction score
12,226
"PENZI LA KWANZA HALIFI"

Nimesikia maneno haya kwa muhenga mmoja hapa tulipokuwa tukipiga stori za hapa na pale.

Je, wewe binafsi unakubaliana na huyu mdau kwa hili?

Vipi mpenzi wako wa kwanza bado mnapendana mpaka leo??

(Mimi sikubaliani nae kabisa.)
 
S...... sitokusahau milele jini wewe, nilipata shida sana, ulinipa wakati mgumu mtoto wa kiume, nilihangaika sana, maisha hautotoka akilini ingawaje skujui ulipo, namba yako ya simu ipo akilini haifutiki ingawaje nilieka kiapo kibaya sitokutafuta ni miaka mingi sna imepita

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hiyo ni nadharia ya wajinga ambao hutaman kupasha viporo, wengine tuking'oa nanga tumeng'oa
 
Atari sana tulidumu kwa miaka mingi, kanikomoa, si alijua kama nampenda sana ndio maana kanikomoa, nilikua nikiomba samahani mm wakati ananikosea yeye, Muarabu sikukata tamaa ila kunaday alinichana live kuwa ana muarabu wake kitambo na anataka aolewe, so nisimsumbue
STRUGGLE MAN,
Inaonekana alikupa funzo la maana jini wako[emoji23][emoji23]

Sent using Jamii Forums mobile app
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom