HNIC
JF-Expert Member
- Sep 6, 2011
- 1,898
- 2,195
Majibu ya aliyekuwa katibu mkuu kiongozi Ombeni Sefue kuhusu Dr Carina ambaye aliteuliwa na Wazir Jenista Mhagama kukaimu ukurugenzi mkuu NSSF yanaleta maswali mengi kuliko majibu
Kwa nafasi yake angeomba file lake huyu mama aliyekuwa Raia wa Uganda toka kwa Idara ya Uhamiaji angepewa mara moja.
Naamini kuwa Ikulu na Idara ya Uhamiaji watakuwa na sophisticated system ya kuweza kupata Data za kila mtu bila longo longo.
Sasa kama katibu mkuu kiongozi wa nchi ambaye ndio gate keeper wa Mheshimiwa Rais anasema hajui kitu ina maana waziri wa kazi na ajira naye alikuwa hajaui au vipi?
Tusisahau kuwa Sefue ndiye Katibu Mkuu Kiongozi wa kwanza kwenye historia ya Tanzania kufukuzwa kazi
The previous ones are
1. Dickson Nkembo
2. Timothy Apiyo
3. Paul Rupa
4. Materns Lumbanga
5. Philemon Luhanjo
6. Ombeni Sefue
He (Ombeni Sefue) is the only one who left in DISGRACE