Je, ni kweli ndoa za wasomi hazidumu?

Je, ni kweli ndoa za wasomi hazidumu?

Inategemea tu mnavyoishi,, Mimi na mwenzangu wote tunamasters kwa zaidi ya miaka saba na sasa tuna Mwakatobe 16+ ya ndoa ila sijaona tatizo linalotokana na elimu wala kipato,, ingawa vijimambo vidogovidogo huwa havikosekani ktk ndoa
Hongerenii
 
Habarini wapendwa,

Hivi karibuni nimetoka katika mjadala mzito (mabishano) na mama wa jirani, mabishano yalianza kama mjadala wa sababu za ndoa nyingi kuvunjika, kilichonigusa zaidi, kipengele cha kiwango cha elimu baina ya wanandoa.

Madai anayotoa yeye, kuhusu kipengele hiki, ndoa ambazo wanandoa wanakua na kiwango sawa cha elimu au chenye ukaribu zaidi, huwa hazikai kwa muda mrefu kwa sababu kila mmoja hutumia elimu yake kama silaha katika kumuongoza mwenzake.

Je, ni upi ukweli wa jambo hili?
Ndoa yyte ile haitoweza kudumu kam.... kwnz, MUNGU hajatagulizwa ndan ya ndoa io,

pili, ni ukweli usiokwepeka kwmb ppo wanaingia kwny ndoa nowdayz as a fashion instead of being NOT IN LOVE....

Coz kiukwel kam tyar mnapendana n mkaridhiana bs yanayofata uwe ni matokeo tu yakiongozwa n nguzo mbili muhimu ambazo ni UKWELI n UWAMINIFU ktk ndoa hiyo....

Tofaut n hvyo ayo maneno kwmb ndoa ya aina flan n flan uwa hazidumu.... yataendelea kuepo daily n mtazd kujiaminisha ivo kumbe c sahh ata kdg!

Hivyo bnafc nachukua nafasi hii kupinga io dhana.... mana ata mifano halisi ya wanandoa wasomi ambao ndoa zao zmedumu vema 2 ipo mingi....

UMMA n jamii kwa ujumla ucpotoshwe n hii dhana

Fikra zangu tu lakin....
 
Kuna exceptions.Wapo wenye elimu zinazolingana na wanaishi raha mstarehe.Mfano mimi na mke wangu tunalingana kila kitu kielimu.Tuna diploma na degree moja katika fani yetu .Wakati mwingine tunatofautiana mtazamo juu ya maswala kadhaa,lakini hatujawahi kupigana.
Tulichumbiana kwa miaka sita, tukafunga ndoa na sasa tuna miaka 12 Kwenye ndoa.Sijawahi kuona mke wangu anatunisha msuli kwa sababu ya elimu au kipato chake.
Tumepata mafanikio kadhaa pamoja,na pia tumewahi kushindwa pamoja. Tuna watoto watatu.Kila mmoja ana nia ya dhati kuwepo kwenye ndoa hii.Kwa hiyo likitokea tatizo tunalikabiri kwa nia ya kujenga familia,na si kubomoa(kuachana).Kama yeye mwenyewe anavyosemaga 'hapa ndio nimeshafika, ni mwanzo mwisho mpaka kifo'.
Kwa hiyo naamini wasomi wawili wanaweza kuishi pamoja na wakajenga familia bila kujali elimu na vipato vyao.
Huu ni mfano m1wapo.... Safi mkuu
 
Inategemea tu mnavyoishi,, Mimi na mwenzangu wote tunamasters kwa zaidi ya miaka saba na sasa tuna Mwakatobe 16+ ya ndoa ila sijaona tatizo linalotokana na elimu wala kipato,, ingawa vijimambo vidogovidogo huwa havikosekani ktk ndoa
Mfano wa pili huu... Safi mkuuu
 
Everything.
Kuendana, kuendana means hata urefu, rangi, dini, mitazamu juu ya jambo fulani, elimu, kipato, umri, unene, wembamba, uzuri etc aren't ?
 
Aa
Ndoa yyte ile haitoweza kudumu kam.... kwnz, MUNGU hajatagulizwa ndan ya ndoa io,

pili, ni ukweli usiokwepeka kwmb ppo wanaingia kwny ndoa nowdayz as a fashion instead of being NOT IN LOVE....

Coz kiukwel kam tyar mnapendana n mkaridhiana bs yanayofata uwe ni matokeo tu yakiongozwa n nguzo mbili muhimu ambazo ni UKWELI n UWAMINIFU ktk ndoa hiyo....

Tofaut n hvyo ayo maneno kwmb ndoa ya aina flan n flan uwa hazidumu.... yataendelea kuepo daily n mtazd kujiaminisha ivo kumbe c sahh ata kdg!

Hivyo bnafc nachukua nafasi hii kupinga io dhana.... mana ata mifano halisi ya wanandoa wasomi ambao ndoa zao zmedumu vema 2 ipo mingi....

UMMA n jamii kwa ujumla ucpotoshwe n hii dhana

Fikra zangu tu lakin....
asante sana
 
Na ndiko hii maada hapa ilipo base, nimepewa condition hapa😀😀😀😀😀😀mana nimelowa kama mchele

kwamba, whenever nataka kuoa, niangalie
1. Umri,
2. Mali,
3. Elimu

Japo viwili kati ya hivyo niwe juu yake!!!
Naomba tuu tupeane madini😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀 for free with no charge
Mkuu kwangu mimi hapo nazingatia umri na mali
 
Yan akinizidi Elimu kwangu siyo kesi. Ila asinizidi mali wala umri. Huyu ni rahisi sana kumcontrol. Kwa sababu anaelewa vipo vitega uchumi vya yeye kuendeleza maisha yake nje ya utegemezi wangu.

Kiujumla mwanamke ajielewe nafasi yake kwa mume wake
 
Usipindishe Mzee Ongea Uhalisia Uliopo Ni Kwamba Kwenye Ndoa Ambazo Female Wana Miliki Mkwanja, Cheo, Nyingi Hazidumu Na Zinazo Dumu Male Wanakua Wavulivu , Pia Zingine Mungu Anasaidia
 
Asante.Kwa uzoefu wangu,kama mwanaume na mwanamke wanapendana kwa dhati,fedha na elimu vinakuwa vichocheo vya mafanikio zaidi kwao.
Determining factor ni mwanamke! Akiamua ndoa hii idumu itadumu ila akiamua kuivunja piga ua itayeyuka. Hivyo mshukuru na kumpa hongera mkeo.
 
Katika vitu ninavyoniumiza kichwa ndio hiki nawaza wapo wengine wananiambia oa mtu mwenye kazi kama Mimi nawatafuta lakini siwapati
 
Wewe kaoe mwanamke msomi uone balaa lake ndoa ikidumu ujue umekua mlevi au umeuza furaha yako milele ili ndoa idumu..ukweli upo kwa 89%..mwanamke ameumbwa kuburudisha,kuondoa stress na kuleta baraka kwenye nyumba sasa pata picha mtu kiburi,mbishi anakuburudishaje km sio kuongeza stress tu..waacheni tu wanaume wasomi wachelewe kuoa..wanajua mabalaa ya wanawake wa chuo...mwanaume akiwahi kuoa saiv ujue hana elimu au elimu ndogo hajafika chuo aka date wanawake wasomi...no hard feelings...hayo mapovu yangu kwa leo,asanteni
 
Back
Top Bottom