ikhwan safaa
Senior Member
- Jul 24, 2011
- 106
- 31
Au anasingiziwa?
I find it hard kuamini kuwa awe amefika hapo alipofika kwa degree feki
I feel kama vile JF mko kwenye smear campaign dhidi ya mkulo
Haiwezekani waziri wa fedha awe na degree feki...impossible
msitake kumdhalilisha rais na utawala wake kwa maneno ambayo hamuna uhakika nayo
wengine mmethubutu kusema kuwa amepewa degree chuo kilichompa mbwa wa kufugwa degree
siyo degree tu, hata uraia wake ni feki!
Ni raia wa wapi kwani?
unamaana na ujamaa na yule babu mwenye mvi wa pale Ikulu?Raia wa ile nchi ambayo iko upande wa kule ziwa Nyasa
Labda anataka kujua kama kushuka kwa uchumi wetu kuna uhusiano na elimu ya waziri wa fedha wetuiwe feki au uriginal wewe inakuhusu nini?
unamaana na ujamaa na yule babu mwenye mvi wa pale Ikulu?
ni vizuri kujua mkuu............. acha kabisa hizo zakoiwe feki au uriginal wewe inakuhusu nini?
nijuavyo mimi ni kuwa yule babu mwenye mvi wa Ikulu, katibu mkuu wizara ya afya, na jamaa na NHC wote kitu kimoja na sasa babu yuko bize anataka kuweka mtu wake mwingine PSPFSina hakika na ujamaa wao! ninachojua ni kwamba anatoka nchi ya yule mzee aliyekuwa rais na sasa ana advertize condom kwenye tv
Kwa ninavyofahamu mimi Mkulo alikuwa mmoja wa Watanzania wachache ambao kwa progarmme ya wakati ule walikuwa wanapekwa UK kusomea masomo ya uhasibu.Yeye ni mmoja kati ya watu waliohitimu na kutunukiwa ACCA,yaani sitashahada ya uhasibu itolewayo UINGEREZA na kutambuliwa duniani kote.Mnyonge mnyongeni lakini haki yake mpeni.
siyo degree tu, hata uraia wake ni feki!
haya huyo mkewe si Mngazija orojino...naye ni mngazija Fekisio uraia tu, hata hayo anayosema eti uchumi wa tanzania umekuwa kwa asilimia 7 ni feki. mia
Au anasingiziwa?
I find it hard kuamini kuwa awe amefika hapo alipofika kwa degree feki
I feel kama vile JF mko kwenye smear campaign dhidi ya mkulo
Haiwezekani waziri wa fedha awe na degree feki...impossible
msitake kumdhalilisha rais na utawala wake kwa maneno ambayo hamuna uhakika nayo
wengine mmethubutu kusema kuwa amepewa degree chuo kilichompa mbwa wa kufugwa degree
Kuna watu wana confuse degree fake na degree za non accredited universities. Degree za non accredited universities sio fake, bali hazitambuliwi! Sio kosa kisheria.
Degree fake ni zile za kwenye internet, husomi chochote, popote, unalipia na kupewa gamba la vyuo vikuu vyenye majina!. Hili ni kosa la jinai na ukigundulika ni punishable by law!
ndetichia, non accredited universities, ni vyuo vya ukweli na wanafundisha ukweli, ila degree zao ni sub standard, hazijakidhi vigezo, au vyo vya uchochoroni!.mkuu kwenye bold hapo unamaanisha ni full kunichanganya naomba ufafanui kidogo..