Je, ni kweli mji wa Mecca upo katikati ya dunia?

Huyu so ndo yule alopiga picha mlimani akadanganya dunia kuwa yuko mwezini? Kama ndo yeye unapatawapi ujasiri wa kumtumia kama reference?
Huyo jamaa ametoa ushahidi wa kitaalamu kuthibitisha Mecca ndiyo kati lete yako iliyo tofauti na hiyo
 
Ahahaaaaaaaaaaah...
Kwani nini maana ya Kafir ndugu Muislam..!?
Hao watu niliokuwekea hapo juu ni watu wasioamini katika dini yako teule...
Hakuna mahali nimesema hao watu ni Christians..!
Kuhusu habari za Wakristo usiniulize(Hakuna mahali nimewazungumzia Wakristo na Biblia katika huu Uzi),mimi nawazungumzia MAKAFIR,ambao wewe ndugu Muislam umesema hawana akili...
Labda haujui maana ya neno Kafir ndio maana unanichanganyia Madesa hapa..!
Usisahau:Makafir wanarun the universe,they are smart and they are everywhere.
Unaelewa maana ya kafiri kwa mujibu wa uislamu?

Kama jibu ni ndio tuwekee hapa na rejea zake.
 
Dunia sio duara ..dunia ni flat huu mjadala unahitaji mda ...ila in sha Allah nkipata wasaa ntaleta dalili kuonesha dunia n flat s duara ka wamagharibi walivowakaririsha
We umepotea mchana kweupeee, dunia flat, upo karne hii au ni binadamu from the past?
 
250px-Orthographic_Projection_30W_150E.png
Ikweta ni mstari unaogawa dunia katika sehemu mbili (kaskazini na kusini) kwenye umbali sawa kati ya ncha ya kaskazini na ya kusini. Baina ya nchi za Afrika ni Somalia, Kenya, Uganda, Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo, Jamhuri ya Kongo, Gaboni na Sao Tome na Principe ambazo ziko kwenye mstari wa ikweta.

KULIKUWA na mjadala mkali kuhusu umbo hususan la dunia kwenye Chuo cha Sayansi cha Paris kilicho maarufu mnamo 1735. Wale waliounga mkono nadharia za Isaac Newton walikata kauli kwamba dunia ilikuwa mviringo lakini ilikuwa tambarare kidogo kwenye ncha. Wale waliounga mkono nadharia za Cassini walisema kwamba dunia ilikuwa tambarare kwenye ikweta.

Kwa hiyo, mnamo 1736, vikundi viwili vya wanasayansi vilitumwa ili kupima mpindo wa dunia. Kikundi kimoja kilienda Lapland, kuelekea Ncha ya Kaskazini, na kile kingine kikaenda Ekuado ya leo, kwenye ikweta. Uchunguzi huo ulithibitisha kwamba waliotetea nadharia za Newton walikuwa sahihi.

Ili kuadhimisha mwaka wa 200 tangu wanasayansi hao Wafaransa walipofunga safari ya kwenda Ekuado, mnara wa ukumbusho ulijengwa karibu na Quito, mji mkuu wa Ekuado mnamo 1936. Mnara huo umesimamishwa kwenye mstari ambao wanasayansi hao Wafaransa wa karne ya 18 walifikiri kuwa ndio ikweta. Hadi leo, watalii hutembelea mnara huo unaoitwa, Katikati ya Dunia. Wakiwa hapo wanaweza kukanyaga pande mbili za dunia zinazotenganishwa na ikweta.
 
Mara nyingi tukitaka kujua muda huwa tunatizama vivuli wakati jua linawaka. Kuna mahali pamoja tu ambapo vitu vyote havina kivuli saa sita kamili za mchana wakati jua linapovuka ikweta. Mahali hapo ni ikweta yenyewe. Kwa hiyo Mradi wa Quitsa-to unadokeza kwamba kuchunguza vivuli kwa uangalifu kuliwasaidia watu hao wa kale wafahamu mahali ambapo ikweta ilikuwa.
 
Kama Mecca inapatikana kwenye mstari wa ikweta then tuanzie majadiliano hapo
 
440px-Equator_sign_kenya.jpg

Kama upo eneo ambalo ikifika saa sita za mchana jua halipingi utosini basi ujue uko mbali na katikati ya dunia, vinginevyo tembelea Nanyuki Kenya utajifunza kitu.
 
unajua ndugu zetu waislamu huwa wako tofauti na hii elimu ya watu wa magharibi, mfano sasa tupo mwaka2018 wao wapo mwaka tofauti kabisa, geography na sayansi inavyoamini katika dunia na ulimwengu wao ni tofauti kabisa, kwaiyo kukwambia mecca ipo katikati ya dunia usishangae kidini utapata jibu ila kisayansi unaweza ukachanganyikiwa.
 
Labda tupate huo ushahidi wa kidini, vinginevyo labda msemaji alipitiwa bahati mbaya kusema Mecca ipo katikati ya dunia
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom