Je, ni kweli Makonda kutunukiwa PhD ya heshima huko SA?

Je, ni kweli Makonda kutunukiwa PhD ya heshima huko SA?

Status
Not open for further replies.
alifeli darasa la nne,akafeli la saba,akafeli form four,chuo sup lukuki aha aha bashite
 
heee! kumbe tayari alikuwa amegonda masters!!! au ni Doctor ya heshima tu! hongera zake kama ni kweli
 
Ni kweli anapewa Phd ya ujambazi wa vyeti huko kolomije
 
Fisadi wa taaluma .. Mfalme wa waghushi vyeti Tz... Dr Daudi Bashite.
 
Anaweza kupata PhD ya heshima kweli, maana inategemea ni nani huyo mtoa heshima na ana sababu zipi za "kumheshimu" huyo "mheshimiwa"
 
haya majina ya daudi hayafai kuwapa watoto,daudi balali,daudi bashite
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom