johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 104,319
- 183,639
- Thread starter
- #61
Masters siyo lazimaAnapewaje PHD wakt hata master ya kufoji hana
Masters siyo lazimaAnapewaje PHD wakt hata master ya kufoji hana
Hiyo kalinawezaje kubadili ID yangu isomeke Daudi Bashite??
Tafakari kabla hujapostKweli anafaa kupewa degree ya heshima ya wizi na forgery ya vyeti
Kwa hili usikufuru mungu kumsimanga mwenzako kwa kukosa mtoto. Hujafa hujaumbika mungu aliyekupa we we ndie aliyemnyima. Hata kama unawatoto mungu akiamua anaweza kuwachukua na ukatafuta usipate tena. Mambo hayo co ya kukashifianalabda PH ya ugumba na mwizi wa vyeti
Kutoka kuishi km mwenye jiji nasikia anaishi chumba kimoja kama stoo kwa Madiba.hbr hizi kaniambia dalari aliyemtafutia chumba sauzi
Kwi! Kwi! Kwi!Hiyo ph.D imeandikwa Daudi Bashite au Paul Makonda?
"Wanaume kama mabinti". Wanawake wazidi kuwatia makofi waume zao make kweli sahivi " kama mabinti" ni wengi, umbea kila pahala.Nimejulishwa na mtafiti mmoja aishiye SA.Bado nafuatilia ukweli wa habari hii na mwenye taarifa kama hizi atujuze tafadhali ili tumpongeze kiongozi wetu
Elimu huwa hatupewi. You can't be given, you earn it......fool.Kwa hili usikufuru mungu kumsimanga mwenzako kwa kukosa mtoto. Hujafa hujaumbika mungu aliyekupa we we ndie aliyemnyima. Hata kama unawatoto mungu akiamua anaweza kuwachukua na ukatafuta usipate tena. Mambo hayo co ya kukashifiana
Zinaitwa freaking newsNimejulishwa na mtafiti mmoja aishiye SA.Bado nafuatilia ukweli wa habari hii na mwenye taarifa kama hizi atujuze tafadhali ili tumpongeze kiongozi wetu
Ngoja nitafute dictionaryZinaitwa freaking news
Ndo hivyo aliyepewa kapewa...wewe endelea kubwabwaja hapa uone hata nusu ya mafanikio ya Makonda utayapata....Anapewaje PHD wakt hata master ya kufoji hana
[emoji23] sema kamusiNgoja nitafute dictionary
Mhhhh hii haikubaliki hata kidogo...sio uungwana na huu sio utanzanialabda PH ya ugumba na mwizi wa vyeti
Ngoja na mimi nimtunukie mwanangu P.H.D ya kuwa kiranja wa darasa hii phd hamna haja ya kuisomea bora wasomi mjiishie na masters tu inatoshaPhD ya heshima!