Je, ni kweli Makonda kutunukiwa PhD ya heshima huko SA?

Status
Not open for further replies.

johnthebaptist

JF-Expert Member
May 27, 2014
96,225
168,790
Nimejulishwa na mtafiti mmoja aishiye SA.Bado nafuatilia ukweli wa habari hii na mwenye taarifa kama hizi atujuze tafadhali ili tumpongeze kiongozi wetu

============

Habari hii si ya kweli, picha inayozunguka mtandaoni ni ya mwaka 2015 kama picha inavyoonyesha
WhatsApp Image 2017-03-08 at 9.17.55 PM.jpeg
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom