DAKA MTUMBA
JF-Expert Member
- Aug 4, 2014
- 1,288
- 805
- Thread starter
- #61
Mkuu wewe unapiga kazi huko?Njoo usiogope maaneo bado yapo tanzanite ipo nyingi sana
Mkuu wewe unapiga kazi huko?Njoo usiogope maaneo bado yapo tanzanite ipo nyingi sana
Tanzanite ni rare afu bei chee, diamond inachimbwaga maeneo kibao afu ndo ipo juu.... hawa wazungu hawajaturoga lakini. kwanini Diamond ni expensive sana? nifunzeni wakuu