Noel france
JF-Expert Member
- Oct 8, 2012
- 1,159
- 1,054
- Thread starter
- #21
CDM walimaanisha ndio maana wakaweka kwenye Ilani, CCM wamedandia ili kuweka vipengele vya kuwalinda. Ndugu zetu wa Kenya hawakuweza kupata katiba walipokuwa na serikali ya chama kimoja lakini iliwezekana pale kulipokuwa na serikali ya mseto
kwahiyo tukubaliane si lazima kuwepo na serikali ya kitaifa.pia tambua kenya wao waliamua kufanya vile kwa sababu ya fujo zilizo tokea katika kipindi cha uchaguzi.