Noel france
JF-Expert Member
- Oct 8, 2012
- 1,159
- 1,054
Kutokana na kauli yake ya kumuomba rais Kikwete aunde serikali ya umoja ya kitaifa. Binafsi naona ni mpango kabambe unaosukwa na CCM kupitia kwa CUF (prof.lipumba) ili kuihujumu CHADEMA.
Hii inatokana na kuwaona CHADEMA kuzidi kuimalika. Kwahiyo wanatumia kigezo cha kutokukamilika kwa wakati katiba ya jamhuri ya muungano wa Tanzania.
Ni mtazamo wangu, ila unaruhusiwa kutoa na wakwako ama kuunganisha doti.