Je, ni kweli kwamba wanawake weupe ni wazuri sana kuliko weusi?

Gari nyeupe haivutiii, kwaaajili ya maskini hata ukipiga puti unaweza kuendelea na safari bila kupaka rangi na pia ni bei rahisi.

Sent using Jamii Forums mobile app
Kwa magari ni tofauti kama ilivyo kwa paka. Wengi wetu tunaogopa paka mweusi kuliko mweupe. Paka mweusi anaaminika zaidi kuwa mchawi kuliko paka mweupe.
 
Si wanawake tu kitu chochote chenye bright color huwa kina attract. Hata kwa wanaume akipita mwarabu na msouth Sudan wa kwanza utakayemuangalia ni muarabu. Black is beauty but not attractive
Si kweli, labda wewe...
 
Mwanamke mweusi au maji ya kunde wazuri saana mpaka roho inapenda

Wanawake weupe mmh ukimwangalia waeeza sahau ukamlinganisha na zeruzeru,

Binti mwenye rangi ya maji ya kunde nawapenda saana kuliko kawaida aisee..

Weupe mmmh waende somalia au kongo!!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hivi jamani kuna ukweli wowote kwamba wanawake weupe ni wazuri sana kuliko weusi maana marafiki zangu wanabisha sana kuhusu hilo na je ni kwanini mwanamke mweupe anaangaliwa sana barabarani kuliko mweusi wakiwa wameongozana.
Nyie ndiomnaosababisha wanawake weusi waanze kujichubua ili wawe weupe
 
Mwanamke mweupe ni mzuri kwa nje lkn mwanamke mweusi ni mzuri sana tena sana kwa ndani.

Kwa ujumla mwanamke mweupe ni mzuri na mwanamke mweusi ni mtam
Hivi jamani kuna ukweli wowote kwamba wanawake weupe ni wazuri sana kuliko weusi maana marafiki zangu wanabisha sana kuhusu hilo na je ni kwanini mwanamke mweupe anaangaliwa sana barabarani kuliko mweusi wakiwa wameongozana.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Tena nanihii zote 2!
Ile mushkeri yote yaondoka wakati wa mechi...
Sasa ndiyo ukute kajichubuwa, waweza dhani jini!
Yaan tafran!!! Mi mke mweusi ananikosha roho sana mana mpak naniliu pia nyeusi asa inaleta msismko sana kwenye majamboz. Ila nkimwangalia mtu mweupe afu kule peusi....nakosa msisimko

Sent using Jamii Forums mobile app
 
A) Uzuri nini?
1. Umbo
2. Rangi
3. Mtazamo wa mtu mwenyewe

B) Je nikweli anayeaminika mzuri kwa mtazamo na kipimo cha mwenzako pia ataonekana mzuri kwa mwengine kwa kiwango kilele?

C) Kwanini kila mmoja humsifia mwandani wake na sio wote tumsifie mmoja tu?

Je uzuri nini? Rangi?, umbile, mtazamo wa mtu?

Naomba majibu.
Uzuri unaanza nje kwanza na sura ina mchango mkubwa. Umbo, sijui rangi ni preference.
 
Acheni uongo na unafiki mwanamke mweupe amependwa tangu karne nyingi, huko Misri ya kale! mpaka leo mpaka kesho kitu ni mwanamke mweupe!

Biashara zote km Benki, bar zenye wateja wengi wahudumu ni weupe, chunguza. humo sasa wanaopewa Ofa wengi yaani keep change, krb dada ni weupe, watakao kuwa wa kwanza kuolewa na kuacha kazi ni weupe!

Ukiwa na dada weupe na weusi, weupe wanapata wachumba faster!
 
Back
Top Bottom