Je, ni kweli kuwa watu wenye kundi la damu "O" huwa wagumba au wenye matatizo ya uzazi?

NZURI PESA

JF-Expert Member
Mar 25, 2011
5,959
2,938
Habari wakuu

Nimepata fununu kuwa kuna tafiti mbalimbali zinazobainisha kuwa watu wenye kundi O la damu huwa WAGUMBA au uzazi kwao ni nadra sana.

Nasikia kuwa hata wakipata watoto huwa hawazidi 3.

Sisi wenye kundi hilo la damu ndio tunaujua ukweli hivyo naomba shuhuda zenu.

Je, hili suala ni la kweli?
 
Hizo research umefanyia wapi? Ivi ni lini mtaacha kutuandama? Tupe ref za tafiti hizo
Na ye mwenyewe mtoa maada ni damu group O ...anajiandama mpaka na yeye....lakini kuusu hili suala nlisikiaga group 0 damu zikikutana ndo kupata mtoto inakua ishu
 
Katika ukoo wetu ndugu zangu haswa kuanzia babu zetu, baba na shangazi wengi ni group O Na wamefyatua watoto wengi sana, kwtu tupo 11 na Mzee ni group O babu alifyatua 14 na yeye alikuwa group O.
 
Huu utafafiti wako ni wa kutumia sayansi kimu ya darasa la NNE,
Mimi ni group O,na Nina watoto saba,acha uongo we jamaa,
Sio UONGO na Ni O Ipi Wewe Ni ke au me halafu Soma vizuri na SI utafiti wangu.oia neno Kuna Uwezekano Ni tofauti na %100 kwahiyo ama iwe au isiwe hivyo lakini %kubwa ya wenye O lood group ama WAGUMBA au wana watoto wachache Sana Tena wanaoatikana kwa kuvizia
 
Nimeleta mada tuchangie ili tulinganishe na tafiti za hao waliofanya tafiti tujue uhalisia Sasa bila kuelewa mnashambulia wajitokeze WANAWAKE wenye O blood group wachangie hapa yupo mwenye watoto wa 4+? Maana Hawa ndo wanaweza saidia.Pia wajitokeze WANAUME wenye blood group O ambao wana watoto Zaid ya 4.
 
Katika ukoo wetu ndugu zangu haswa kuanzia babu zetu, baba na shangazi wengi ni group O Na wamefyatua watoto wengi sana, kwtu tupo 11 na Mzee ni group O babu alifyatua 14 na yeye alikuwa group O.
Nanyinyi wote 11 Ni Mama MMOJA baba MMOJA na wote mna blood group O?
 
Si kweli kabisa, Hizo ni tafiti za mvunguni. Mimi hapa nina wanne tayari bila shida yeyote. Tusipotoshane
Ahsante.nahitaji kupata USHUHUDA Kama huu maana tunasoma tafiti za wenzetu kuwa sisi wa O WAGUMBA lakini huwenda sivyo
 
Na ye mwenyewe mtoa maada ni damu group O ...anajiandama mpaka na yeye....lakini kuusu hili suala nlisikiaga group 0 damu zikikutana ndo kupata mtoto inakua ishu
Mkuu sinidanganyi Mimi nimeipenda kusikia USHUHUDA wa wabongo wenzangu Sasa kosa kutaka kufahamu hili au?
 
Ningekuelewa kidogo kama kwenye hiyo O ungeongezea neno "negative"
Lakini hivi hivi,naona maruweruwe,maana mimi na wife wangu ni group O
na tumezaa watoto.
 
Ningekuelewa kidogo kama kwenye hiyo O ungeongezea neno "negative"
Lakini hivi hivi,naona maruweruwe,maana mimi na wife wangu ni group O
na tumezaa watoto.
Siwezi ongeza (-) au (+) tushuhudie tu mkuu
 
Nimeleta mada tuchangie ili tulinganishe na tafiti za hao waliofanya tafiti tujue uhalisia Sasa bila kuelewa mnashambulia wajitokeze WANAWAKE wenye O blood group wachangie hapa yupo mwenye watoto wa 4+? Maana Hawa ndo wanaweza saidia.Pia wajitokeze WANAUME wenye blood group O ambao wana watoto Zaid ya 4.
Nina watoto wanne 4 group O+...
 
Back
Top Bottom