Je ni kweli kuwa unaweza kuzuia ndevu zisiote?

mzee wa fix

Member
Jun 27, 2016
17
11
Habari wanaJF,
Nasikia watu wanaweza kuzuia ndevu zisiote. Je kuna ukweli wowote kuhusu hili? Kama upo wanatumia nini kuzuia?
 
Ni kweli kabisa zipo dawa za kuzuia ndevu zisiote lakini zina madhara makubwa sana mwilini kwakuwa zinaingia kwenye mzunguko wa damu na kuua seli nyingine pia
 
Ni kweli kabisa zipo dawa za kuzuia ndevu zisiote lakini zina madhara makubwa sana mwilini kwakuwa zinaingia kwenye mzunguko wa damu na kuua seli nyingine pia
Mkuu je kuna dawa za kusababisha ndevu ziote kwa wingi?
 
Habari wanaJF,
Nasikia watu wanaweza kuzuia ndevu zisiote. Je kuna ukweli wowote kuhusu hili? Kama upo wanatumia nini kuzuia?
Dawa nyepesi ni kung'oa mojamoja tangu wakati zinaanza kuota

Nimetumia hiyo mbinu tangu zilipoanza mpaka sasa ni over 30 ila vipo vidogo navyoweza mudu kutunza na zikizidi tu nang'oa

Ila inauma
 
Back
Top Bottom