Je, inawezekana kufanya chochote kwa asiye na ndevu akazipata?

Mtandaoni

Senior Member
Jul 22, 2013
111
31
Katika kila mwili wa binadamu una viungo mbalimbali , na kila kiungo kina faida zake, lakini inapotokea ukapungukiwa lazima utayaona madhara au hasara ya kutokuwa nacho, mfano % 98 wanaume wamejaliwa KUWA na NDEVU

%100 ilobaki hawana, mm nayahesabu kama mapungufu, je kuna namna yeyote ya kufanya ili wanaume wote TUWE %100 kwa hili? Kwa sababu elimu ya Sasa ni ya kitehama Zaid, naomba kusaidiwa maana nami nimo kwenye %2 na huwa natamani sana KUWA na NDEVU, japo KUWA kuna wengine watotoa comment mbaya ila kumbuka kila kitu kina faida na hasara yake.

Swali kuu je kuna uwezekano wowote WA mtu asiye na akawa nazo?
 
Mleta mada una umri gani?
 
Wayne Rooney hakuwa na nywele eneo kubwa kichwani lakini walimpandikiza na sasa ako na nywele kibao
 
MIAKA ZAIDI YA 28 na unawaza ndevu ,,,hyo ni inferiority mbele za wanawake
bro wanawake hawaeleweki wanataka nini acha kutumia nguvu nyingi kujidhooofisha akili yako
mkuu huna hata kababyface kakuzugia zugia?
 
Katika kila mwili wa binadamu una viungo mbalimbali , na kila kiungo kina faida zake, lakini inapotokea ukapungukiwa lazima utayaona madhara au hasara ya kutokuwa nacho, mfano % 98 wanaume wamejaliwa KUWA na NDEVU

%100 ilobaki hawana, mm nayahesabu kama mapungufu, je kuna namna yeyote ya kufanya ili wanaume wote TUWE %100 kwa hili? Kwa sababu elimu ya Sasa ni ya kitehama Zaid, naomba kusaidiwa maana nami nimo kwenye %2 na huwa natamani sana KUWA na NDEVU, japo KUWA kuna wengine watotoa comment mbaya ila kumbuka kila kitu kina faida na hasara yake.

Swali kuu je kuna uwezekano wowote WA mtu asiye na akawa nazo?
Dr octay yavuz yuko dar anapandikiza nywele kwenye viwalaza na ndevu , baada ya siku 10 zinaanza kuota ni mil 3 tu
 
Una tofauti gani na wanawake wanaomiminika mahospitalini kujiongeza makalio/matiti n.k?

Jikubali ulivyo, sio kila mwanamke anavutiwa na wanaume wenye ndevu, au sio kila mwanaume mwenye ndevu anavutia hadi kukufanya wewe uone kama umepungukiwa kuzikosa.

Utavutia kadiri utakavyojiweka smart.
 
😎
 
Back
Top Bottom