Wont be the same
JF-Expert Member
- Aug 15, 2024
- 1,564
- 2,483
Wakuu, nimekutana na hii video wakati Makamu Mwenyekiti wa CCM, Stsphen Wassira akieleza kuwa kila Zahanati nchini kwa sasa ina CT scan.
Watumishi wa kawaida kabisa hawatoshi vifaa tiba havitoshi afu huyu mzee anakuja kudanganya umma hadharani ivi .Wakuu, nimekutana na hii video wakati Makamu Mwenyekiti wa CCM, Stsphen Wassira akieleza kuwa kila Zahanati nchini kwa sasa ina CT scan
View attachment 3426970
Uwongo uliotukuka, huko ndani ndani hali bado si haliWakuu, nimekutana na hii video wakati Makamu Mwenyekiti wa CCM, Stsphen Wassira akieleza kuwa kila Zahanati nchini kwa sasa ina CT scan.