Je, ni kweli kuna pesa za majini? Mechanism yake ikoje

General Mangi

JF-Expert Member
Dec 21, 2013
15,300
23,022
Wakuu..
Mara nyingi tumesikia habari nyingi ambazo mimi binafsi sijawahi shuhudia. Tumesikia watu kadhaa ambao wana utajiri na mali nyingi ambao huusishwa na ushirikina katika kupata mafanikio hayo.

Tumekuwa tukiona matangazo mbalimbali ya waganga kwamba unaweza pata pesa za ki freemason au pesa za majini na kutajirika mapema.

Tumesikia albino wakiuliwa kwa kuelezwa kwamba viungo vyao vinatimika kuleta utajiri.

Najua hapa JF kuna watu wengi ambao wanaweza kuwa wameshiriki au kushuhudia haya.

Nataka tusaidiane kujua mambo haya kiundani maana wengine mpaka sasa hatuamini mambo haya kutokana na mechanism yake haipo wazi.

mshana jr,Mtu mzito, Al-Watan Annael jichawi
 
Utajiri kama wa Ivan ndio 'mzuri'. Nasikia unapatikana sana Iringa/Njombe huko.
Yani unapewa money/power and fame for several years mostly seven, ila baada ya huo muda wanakuua kwa kuwa unakuwa umeuza your soul to devil.
Sasa ukishapewa miaka saba ya utajiri, zile hesabu zao zinapigwa mara mbili, mchana ni siku moja na usiku ni siku ya pili. Wakati unategemea uishi miaka saba ya kula bata, ile imefika miaka mitatu na nusu wanakuja kukuchukua roho yako.
 
Mweh... kwa hiyo unapiga bata za ukweli kwa miaka mitatu na nusu?

Duh watu wana guts za kipekee....
 
Utajiri kama wa Ivan ndio 'mzuri'. Nasikia unapatikana sana Iringa/Njombe huko.
Yani unapewa money/power and fame for several years mostly seven, ila baada ya huo muda wanakuua kwa kuwa unakuwa umeuza your soul to devil.
Sasa ukishapewa miaka saba ya utajiri, zile hesabu zao zinapigwa mara mbili, mchana ni siku moja na usiku ni siku ya pili. Wakati unategemea uishi miaka saba ya kula bata, ile imefika miaka mitatu na nusu wanakuja kukuchukua roho yako.
Lete ushahidi wowote hata wa uongo .
 
Wakuu..
Mara nyingi tumesikia habari nyingi ambazo mimi binafsi sijawahi shuhudia. Tumesikia watu kadhaa ambao wana utajiri na mali nyingi ambao huusishwa na ushirikina katika kupata mafanikio hayo.

Tumekuwa tukiona matangazo mbalimbali ya waganga kwamba unaweza pata pesa za ki freemason au pesa za majini na kutajirika mapema.

Tumesikia albino wakiuliwa kwa kuelezwa kwamba viungo vyao vinatimika kuleta utajiri.

Najua hapa JF kuna watu wengi ambao wanaweza kuwa wameshiriki au kushuhudia haya.

Nataka tusaidiane kujua mambo haya kiundani maana wengine mpaka sasa hatuamini mambo haya kutokana na mechanism yake haipo wazi.

mshana jr,Mtu mzito, Al-Watan Annael jichawi
Pesa za majini zipo ila hazipatikani kwa utaratibu unaelezwa na hao matapeli na wapigani kwenye matangazo
Hebu jiulize kama ana uwezo wa kukupa wewe kwanini asichukue yeye? Kwanini apate shidayote ya kujitangaza?
Pesa ya majini ni pesa ya kuzimu na ina masharti magumu mno na hupewa watu maalum kwa uchaguzi, na kama ukiisaka haipatikani huku duniani ni huko mbali chini ya bahari
Machoni pa wengi utaonekana tajiri na mwenyewe yuko kwenye kutimiza utume na ufalme wa giza kwa manufaa yasiyomsaidia binafsi
 
Utajiri kama wa Ivan ndio 'mzuri'. Nasikia unapatikana sana Iringa/Njombe huko.
Yani unapewa money/power and fame for several years mostly seven, ila baada ya huo muda wanakuua kwa kuwa unakuwa umeuza your soul to devil.
Sasa ukishapewa miaka saba ya utajiri, zile hesabu zao zinapigwa mara mbili, mchana ni siku moja na usiku ni siku ya pili. Wakati unategemea uishi miaka saba ya kula bata, ile imefika miaka mitatu na nusu wanakuja kukuchukua roho yako.
hata mimi niliwahi kusikia hizo stori za kupewa utajiri kwa miaka kadhaa, lisemwalo lipo.....
 
Hizi Mali zipo sana, mm niwahi taka fungua duka sehemu Fulani Iringa..

Nikaenda kufunga mzigo duka moja Iringa town ... Niliweka kibandani lakini sikuuza hata kitu.. Kumbe lile duka Nililofunga mzigo haikuwa mzigo Bali kiini macho..

Muwe makini na maduka ya jumla
 
Utajiri kama wa Ivan ndio 'mzuri'. Nasikia unapatikana sana Iringa/Njombe huko.
Yani unapewa money/power and fame for several years mostly seven, ila baada ya huo muda wanakuua kwa kuwa unakuwa umeuza your soul to devil.
Sasa ukishapewa miaka saba ya utajiri, zile hesabu zao zinapigwa mara mbili, mchana ni siku moja na usiku ni siku ya pili. Wakati unategemea uishi miaka saba ya kula bata, ile imefika miaka mitatu na nusu wanakuja kukuchukua roho yako.
Jamaa alijua hilo akajikatia bima ya maisha ya dola milioni 20 akifa walipwe watoto.
Kampuni ya bima amekatakata mwili wote ili kujiridhisha kama akijipa sumu,lakini wapiiii,mzigo unakwenda kwa zari na watoto
 
Douh! Mkwanja mrefu balaa...
 
Back
Top Bottom