Sun is Sun
JF-Expert Member
- Mar 13, 2024
- 1,243
- 1,989
Tulia Babuu, sio kila mtu anatapeliwa kindezi.Una hamu ya kutapeliwa sio
Naona utapeli ndo umetawala pande hizo, sidhani kama kuna ukweli wowote.Zipo lakini hazitolewi kwa maskini zinq level zake na zinatolewa kwasababu maalum.. NA SIO PESA MBUZI.. Na mtu hapewi kama msaada
Freemason ni kaliba ya juu sana inayomiliki pesa za dunia na biashara zote kubwa za kimataifa pamoja na uwekezaji mkubwa kati ya mataifaNaona utapeli ndo umetawala pande hizo, sidhani kama kuna ukweli wowote.
Yeye hajakutukana, Wala kukushambulia kwa maneno yeye kauliza swali la kiufahamu kwa manufaa ya wengine wanaotaka kufahamu, swali langu kwako kwanini umemtukana?Wewe ni msenge kweli jamaa,unaamini kuna pesa za Freemason ambae humuoni.Lakini unashindwa kumuamini Mungu ambae vitabu vinasema alikuumba