Je ni kweli kuna kuna mishahara mipya kwa waalim?

Dennis kiwale

Member
Jul 19, 2011
12
2
Habari wana jm nimepata tetesi kuwa eti serikali imepandisha madaraja ya waalimu shahada kuanzana E,stashaha kuanza na D, na cheti C, jaman kuna ukweli hapa?
 
Jaman leo tulikuwa na kikao na katibu wa cwt mkoa wa ruvuma 2memuuliza hizo tetes amesema ni uongo mtupu, nyongeza subirin mwez july.
 
Tatizo ni kuwa bajeti ya mwaka huu inaenda ANTI CLOCKWISE! Na hii itazaa tetesi nyingi sana. Tusubiri tuone maana mpaka bajeti yote inasomwa mwezi tutakuwa hoi kwa kuzidiwa na tetesi!
 
Ninachofahamu ni upandishaji wa madaraja ndo unaoendelea ingawa kwa baadhi ya wilaya upandishaji huo umegubikwa na mizengwe mingi; kwani walioajiriwa miaka ya nyuma wanaachwa na kupandishwa walioajiriwa miaka ya hivi karibuni. Pia kuna suala la mishahara waajiriwa wa hivi karibuni kulipwa zaidi kuliko wale waliotangulia kuajiriwa. Source-rafiki yangu ambaye ni mwl.
 
Ndungu hizo ni ndoto za abunwasi subiri utapata majibu kwenye salary. Utaishia kupewa presha bure.hata kazi utaiona kama polisi na mharifu.
 
Back
Top Bottom