Je, ni kweli IPTL imewasha mitambo yake?

Je, ni kweli IPTL imewasha mitambo yake?

BLACK MOVEMENT

JF-Expert Member
Joined
Mar 11, 2020
Posts
5,488
Reaction score
14,066
Kuna taarifa naiona kwamba IPTL imewasha mitambo na ishazalisha umeme na kuingiza TANESCO, huu ndiyo uhaba uliyokuwa unatengenezwa watu wapige pesa.

Hii migao ni ya kutengeneza watu wapige pesa.

Msinichoshe nisiwachoshe, twende tuone.

FB_IMG_1670146404943.jpg
 
IPTL wamewasha mitambo yao lakini mbona mgao wa umeme uko palepale?

Hapa ninapoandika hakuna umeme Kariakoo wakati kariakoo ndiyo ikulu ya uchumi wa Tanzania
 
Ila mkuu hii ina athili jamii yetu na watoto wetu pia na feature zao, tukuendelea kukaaa kimya ni hatari sana
Bora kukaa kimya ila tunasifia na kuleta propaganda zisizo na vichwa wala miguu siku tukishituka lawama zitakwenda kwa yule yoyote ambaye atakuwa hayupo wakati huo wakati waliopo wakiendelea kufanya yao....
 
Ukiona jamii yeyote imefanya ulalamishi kuwa jadi yake ,basi hiyo ni jamii iliyo jaa wapumbavu.
Kwahiyo wewe unatakaje??

Hebu jaribu na wewe kuchukua hatua... Usiishie kulalamika tu.
 
Kwahiyo wewe unatakaje??

Hebu jaribu na wewe kuchukua hatua... Usiishie kulalamika tu.
Hahahaha.
Kuna jamaa mmoja anakula ugali mnavu wa nyama na maziwa huku anasema hii serikali hii msipochukua hatua kila siku mtapelekwa pelekwa huku anameza matonge na kutafuna nyam nyam nyam..

Watu hawapendi kutake risk wanataka kutazama na kutoa maoni kama kombe la dunia au vita vya ukraine
 
Mi nilijua tu!

Mgao ulianza mapema sana,,,mwezi January baada ya kipara kuwa ndiye tena mvua zilikuwa Bado zinanyesha!!

Sasa ni rasmi kipara atabadilishiwa wizara au kupigwa chini baada ya mission kukamilika!

Mungu IBARIKI TANZANIA
 

Attachments

  • 5458F402-DD3B-45F8-A787-B9E54B99FEC7.jpeg
    5458F402-DD3B-45F8-A787-B9E54B99FEC7.jpeg
    87.7 KB · Views: 16
Ngoja aje aka Tumbiri
Tumbili amepauka, anaimba mapambio kama kasuku,
Tumbili wa wakati wa AG Werema sio huyu, vyeo vya kiserikali we visikie tu,

Mtu una vitz mbovu, ghafla unajikuta unafunguliwa mlango wa V8, unapigiwa saluti, ulinzi wa kutosha, posho mlima, pia vibahasha havikauki ofsini kwako,
 
Back
Top Bottom