ndiyo ni kweli shamba hilo la ekari kama 5000 ligawanywa kwa makampuni kama 12 hivi yanayofanya shughuli tofauti kama kilimo cha mboga kampuni inaitwa Q sam,uwanja golf, kuna nyingine imeanzisha Zoo, na kuna shemu ya makazi ambapo kiwanja ekari 1 ni dola 70,000 na zote hizo ni wazungu tu hakuna mwafrika aliyepewa ardhi mle.
kilio cha wananchi ni kwamba je alimilikishwa shamba hilo Jerome Bruis alitumia njia sahihi kupewa shamba hilo? je walibadilisha matumizi y ardhi kwa mujibu wa sheria? kuna kuila dalili kuwa taribu nyingi zilikikwa na na alimilikishwa shamba hilo kinume cha sheria
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.