Luqnation Tz
Senior Member
- Jul 1, 2017
- 125
- 56
Samahani mkuuwanatangaza tarehe kumi na tatu
*watatangaza si wanatangaza.
Sent using Jamii Forums mobile app
Samahani mkuuwanatangaza tarehe kumi na tatu
ahsante watatangaza
Kweli Kaka maana dah watoi tyu au ndo mazimajamani ivi izo second selection ndo wamegoma kuzitoa coz tumeshachokwa uku mtaani
Sent using Jamii Forums mobile app
mwezi huu
mkifika msianze kutamani kurudi mtaani na ole wa yule anaesubiri second selection kwa ajili ya mademu
Zitatoka lini kakamkifika msianze kutamani kurudi mtaani na ole wa yule anaesubiri second selection kwa ajili ya mademu
mwezi huu kuanzia tarehe kumi na tatu waambie wazazi waandae fees