Ndugu zangu wana Jami foram kuna tetesi kuwa wanafunzi wa kidato cha tano chaguo la pili wameshatamgazwa,yeyote mwenye ukweli anijuze.
Sent using Jamii Forums mobile app
Sent using Jamii Forums mobile app
unauhakika gan Mkuu naomba maelezo plz na wote walioorozeshwa wote watapangiwa shule?Subiri mwezi wa tisa hivi.
shukran joh uvumilivu unaitajika kumbe hapoMiaka 2014,2015 ,2016 zilitoka karibia na likizo fupi ya mwezi wa tisa for sure mimi nmehitimu mwaka hukuu cha 6 mwaka jana walikuja wengine kabla ya likizo hiyo mimi nilipokuwa najiandaa kupiga moko mkoa......
Sana yaaani cha msingi wewe tafuta sehemu uwe unasoma masomo ambayo utachaguliwa kwenye kombi.shukran joh uvumilivu unaitajika kumbe hapo
Hiyo list inapatikana wapi mkuuKwa mwenye ufahamu wa second selection 2017/2018
Zinatoka lini naomba kufahamishwa muda gani
Na je kwa ile orodha yote walioorodheshwa kwamba "wanafunzi watakaochaguliwa awamu ya pili kwenda kidato cha tano 2017/2018" wote watachaguliwa?
Msaada jamani, napenda kujua Lin zinatoka au kwenye hayo majina kuna watakao achwa tena na kwa vgezo gani naomba kusaidiwa
##nawasilisha#
Sent using Jamii Forums mobile app
Samahani mkuu kwa ushahidi upi labdawanatangaza tarehe kumi na tatu
ni vyema kusikiliza maneno yangu ila si lazima kuniamini