Je, ni kweli Chumvi na Mkaa huzuia nguvu za giza?

Bado sijajua siri iliyojificha kwenye chumvi na mkaa. Wengi hutumia kama kinga dhidi ya uchawi na ushirikina. Wengine huweka kitandani au nani ya unga na mchele ili kuzuia chuma ulete.

Matumizi ya mkaa na chumvi yanajulikana kite kama kinga dhidi ya nguvu za Giza. Swali ni je kuna nini ndani ya mkaa na chumvi hat izuie uchawi na ushirikina, au mkaa na chumvi ni ushirikina pia?

Karibu
Mafundi umeme nao hutumia sana chumvi au mkaa kwenye Earth- rod vp hapo?
 
Chumvi inaondoa gundu hasa yale ya magundu ya kusemwasemwa vibaya kwa sababu ya neema uliyonayo au ile uliyozaliwa nayo....mfano wewe ni mtoto wa pekee katika familia na wazazi wako ni watu wenye hali nzuri kimaisha ( tajiri )...
 
Back
Top Bottom