Je, ni kweli Chumvi na Mkaa huzuia nguvu za giza?

Bado sijajua siri iliyojificha kwenye chumvi na mkaa. Wengi hutumia kama kinga dhidi ya uchawi na ushirikina. Wengine huweka kitandani au nani ya unga na mchele ili kuzuia chuma ulete.

Matumizi ya mkaa na chumvi yanajulikana kite kama kinga dhidi ya nguvu za Giza. Swali ni je kuna nini ndani ya mkaa na chumvi hat izuie uchawi na ushirikina, au mkaa na chumvi ni ushirikina pia?

Karibu
Ongeza na hiki
JamiiForums-1211338035.jpg


Jr
 
Chukua mkaa wa moto uweke kwenye maji ile sauti unayosikia ni dawa "pseeeeeeeee" fungia huo mkaa pamoja na kisu kidogo kipya kwenye kitambaa cheusi, weka chini ya mto unapolala. Mchawi akija anaona moto na kusepa. Ataanza kukuita mchawi
 
Back
Top Bottom