Je ni kweli CHADEMA imekufa?

Mlevi wa Mama subiri upewe buku tano udumishe ukilaza wako?
 
Ona Mlevi wa Mama mwingine hapa!🚮🚮🚮
 
Mwehu wa Mama!
 
Yes,
na chama hicho ndio chadema,
Wamemebaki kuropoka tu,

kiongozi wa msaidizi wake wa uropokaji alikamatwa jana baada ya kuskika akitoa harufu kali na mbaya ya bangi na pombe ikabidi asiwekwe korokoroni 🐒
Msukule wa Mama mwingine huyu hapa!
 
Usinikumbushe mwendazake alipambana na chadema na kutuaminisha imekufa baada ya juhudi zilizotumia mamilioni ya walipa kodi. Lakini naona mpaka leo hela zinatumika kuua maiti
Hili jambo huwa linanishangaza sna napoona mtu mwenye akili timamua anasema cdm imekufa
 
CHADEMA is immortal...

Kuna kiumbe mmoja amewahi kuwa Rais wa Tanzania Sasa ni marehemu na hayati Jina lake alikuwa akiitwa John P. Magufuli...

The guy was a political monster, thirsty of blood of his political opponents...

The time anaingia madarakani tu na kwa jinsi alivyokuwa na chuki na CHADEMA, alikula kiapo kuwa atahakikisha ifikapo 2020, itakuwa imekufa...!

Na kweli alianza kwa kuwavuruga kwelikweli ikiwemo kupiga marufuku shughuli za vyama vya siasa vyote isipokuwa chama chake tu...

Akaanzisha mradi wa kuwahonga na kuwanunua wanachama wenye ushawishi na nguvu wa vyama vya upinzani hususani CHADEMA kwa kuwapa pesa nyingi au kuwahonga madaraka kama watakubali kuingia kwenye "political project" yake waliyoipa jina la "kuunga juhudi..."

Cha ajabu huyu jamaa (John P. Magufuli) hamu yake ya kuua wengine, ilimgeuka kwa kasi ya mwanga NA IKAMUUA YEYE...🤔🤔🤔!!

As we speak, jamaa yupo deep down the soil amekuwa mavumbi...

Hawa nao wanaoombea vifo wenye HAKI na kuwawekea mikakati ya kutimiza mauaji hayo ya kimwili na kisiasa, FOR SURE KABISA WATAKUFA WAO SOONER OR LATER maana Mungu mwenye enzi yote hajawahi kumwacha mwenye haki hata mmoja aangamie...!
 
KOSA KUBWA LILILOFANYIKA, NI KUMKABIDHI MWANAHARAKATI CHAMA, AMBAYE PIA HUWA NI MPINZANI WA UPINZANI
Your browser is not able to display this video.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…