mama D
JF-Expert Member
- Nov 22, 2010
- 20,455
- 36,446
Hiyo nguvu kubwa inayotumika kwa chadema inatumika kwa sababu gani sasa?
Tuwaulize wenyewe🙄🙄
Kwanini wanatumia nguvu kubwa sana?
😆😆😆
Hiyo nguvu kubwa inayotumika kwa chadema inatumika kwa sababu gani sasa?
Wakijibu ni tagTuwaulize wenyewe🙄🙄
Kwanini wanatumia nguvu kubwa sana?
😆😆😆
Mlevi wa Mama subiri upewe buku tano udumishe ukilaza wako?JE NI KWELI CHADEMA IMEKUFA?
Habari ya jioni wadau
Hili ni swali ambalo nimekuwa nikijiuliza sana baada ya kuona nguvu kubwa inayotumika mitandaoni kuaminisha watu kwamba chadema ipo hoi, imekufa, imepoteza mvuto.
Jambo linalonishangaza ni pale napoona mijadala mikali kukashifu chama ambacho tunaaminishwa kimekufa. Ni sawa na wewe kusema jirani yako ni dhaifu hawezi shindana nawe. Afu kila siku unatumia nguvu kupambana na mtu aliye dhaifu.
CCM kama mnatuaminisha CHADEMA imekufa, tunaomba msitumie nguvu kupambana na chama kilichokufa. Hizo nguvu muelekeze katika kufanya mambo ya msingi.
Kama CCM itaendelea kutumia nguvu kupambana na CHADEMA basi ni ngumu kuniaminisha kwamba CHADEMA imekufa
Ona Mlevi wa Mama mwingine hapa!🚮🚮🚮gentleman,
atiba ya mazishi na salamu za rambirambi kufuatia kifo cha chadema, muwakilishi wa chademag55, ameahidi kutoa muelekeo katika muda usio kua mrefu, baada ya mashauriana na uongozi, kabla ya kumpumzisha chadema kwenye nyumba yake ya milele,
kwa sasa,
ni muhim kua wastahimilivu na wenye subra katika kipindi hiki kigumu ambacho, ndoto za wanachadema maelfu, nazo zimekufa na kuuawa sambamba na chadema Taifa kwasababu ya uropokaji wa wa kizembe kabisa wa viongozi wasio na maono 🐒
Mwehu wa Mama!Viongozi wa chadema wanaovaa kama mgambo ,wameanza kudharauliwa na wananchi ,na kila kukicha wanazidi kuonyesha mapembe yao ,ni wazi siasa hawana na hawaijui, wanahisi kusema mpaka ukatokwa na mishipa ya shingo ndio siasa, huwezi kutongoza ikiwa umekasirika ,sasa unapokuwa tokea mwanzo mpaka mwisho unahutubia kwa muonekano na sauti ya hasira , uelewe wananchi huwa hawasikilizi na kuyatia akilini unayowaeleza bali wanavutiwa na namna unavyo rapu ,wanakufurahia wanakupigia makofi ukidhani wamekuelewa kumbe hapana wanashangilia unavyopiga chenga ,mpira ukimaliza watu wanachawanyika wakisifia ulivyosema bila ya kuyapa umuhimu wa kuyafanyia kazi au kuyatekeleza ,
mfano pale Kariakoo kwa kweli ni aibu kusema Chadema inapendwa ,maana sikuona kufuatwa kwa ukaribu na wananchi ,viongozi wakionekana peke yao eti wameshikana kuonyesha mshikamano wakielekea kituo cha polisi au ndio walifanya vile ili wananchi tuseme wanachama nao wajiunge kushikana mikono ,ila hapakuonekana mwanachama wala mfuasi nae kuunganisha mikono ya bega kwa bega,tuseme waliachwa sokoni.
Msukule wa Mama!Hiyo chadomo mazishi yake yanamsubiri m/kiti wake kutoka gerezani.
Msukule wa Mama mwingine huyu hapa!Yes,
na chama hicho ndio chadema,
Wamemebaki kuropoka tu,
kiongozi wa msaidizi wake wa uropokaji alikamatwa jana baada ya kuskika akitoa harufu kali na mbaya ya bangi na pombe ikabidi asiwekwe korokoroni 🐒
relax gentleman,Msukule wa Mama mwingine huyu hapa!

calm down mropokaji wa kibaka na tapeli wa kisiasa korokoroniOna Mlevi wa Mama mwingine hapa!🚮🚮🚮

Sawa kibaka wa Mama!calm down mropokaji wa kibaka na tapeli wa kisiasa korokoroni![]()
calm downSawa kibaka wa Mama!

Fala kwelo huyo jamaaMsukule wa Mama mwingine huyu hapa!
Hili jambo huwa linanishangaza sna napoona mtu mwenye akili timamua anasema cdm imekufaUsinikumbushe mwendazake alipambana na chadema na kutuaminisha imekufa baada ya juhudi zilizotumia mamilioni ya walipa kodi. Lakini naona mpaka leo hela zinatumika kuua maiti
CHADEMA is immortal...JE NI KWELI CHADEMA IMEKUFA?
Habari ya jioni wadau
Hili ni swali ambalo nimekuwa nikijiuliza sana baada ya kuona nguvu kubwa inayotumika mitandaoni kuaminisha watu kwamba chadema ipo hoi, imekufa, imepoteza mvuto.
Jambo linalonishangaza ni pale napoona mijadala mikali kukashifu chama ambacho tunaaminishwa kimekufa. Ni sawa na wewe kusema jirani yako ni dhaifu hawezi shindana nawe. Afu kila siku unatumia nguvu kupambana na mtu aliye dhaifu.
CCM kama mnatuaminisha CHADEMA imekufa, tunaomba msitumie nguvu kupambana na chama kilichokufa. Hizo nguvu muelekeze katika kufanya mambo ya msingi.
Kama CCM itaendelea kutumia nguvu kupambana na CHADEMA basi ni ngumu kuniaminisha kwamba CHADEMA imekufa
je kumfunga, kumperekesha jela unaweza?Mtu akifa huwezi kuendelea kumsema.
KOSA KUBWA LILILOFANYIKA, NI KUMKABIDHI MWANAHARAKATI CHAMA, AMBAYE PIA HUWA NI MPINZANI WA UPINZANIJE NI KWELI CHADEMA IMEKUFA?